Nyie endeleeni kuzungusha mikonoHadi septemba 1 serikali itakua imeufyata. Mbona walizuia mikutano na makongamano lakini Bavicha wakatishia watazuia mkutano wa Dodoma,kabla ya mkutano wakajitokeza wenyewe na kujikanyaga kuwa awakuzuia.
Hii serikali ya mwendokasi ni waoga sana
Nyie endeleeni kuzungusha mikono
KAma picha inavyojieleza...View attachment 377197
Kiuhalisia hata hiyo ngumi lazima iumieUnamaanisha uhalisia,nimeipenda hiyoo
umeandika vizuri..cha msingi hyo siku usikae mbali na tv yakoHivi Hamna namna ambayo hawa wanaotaka kuweka ukuta wakaachwa wauweke mrad wafanye mambo yao Kwa Amani.nahofia sana iwapo watu watavunjwa viuno na miguu nan atafanya KAZ katika tz ya viwanda..je tumeshaandaa jela mpya maana zilizopo hazitoshi zimejaa.wanasiasa mkae chin mzungumze kama MNA uchungu na nchi hii kuliko kutaka kupimana ubavu hiyo trh moja ifikirieni kwanza tZ wafikirieni vijana ambao asilimia kubwa wanategemewa na familia zao wakiumia itakuwaje,pia polisi wana mengi ya kufanya je mnataka trh moja muwaongezee majukumu yanayoepukika.Njee tutachukuliwaje nchi ambayo haikumwaga damu kupata Uhuru wake lakin trh moja mnataka tuchafue historia Yetu.tupo kwenye kubana matumiz ili tupige hatua kiuchum je nan anaweza niambia nchi nzima kuizima opareshen ukuta piga hesabu ya magar,mawasiliano,chakula,mabomu ya machoz nchi itatumia sh ngap?
MWISHO nawaombeni kabla ya trh moja tunaZo siku nying hapo kati upinzan na serikali kaeni chini mjadiliane muafikiane tupo watz wapenda Amani tusokuwa na chama wafuasi Wa tz mnatufikiriaje.muda Wa kupimana nguvu ulishapita nadhani Kwa umoja wetu watz tutumie nguvu hizo kujiletea maendeleo.MUNGU IBARIKI TANZANIA,MUNGU WABARIKI VIONGOZI WETU
Ha ha ha ni noumer sanaMsukuma yule anavyopenda sifa hachelewi kumpa ukuu wa wilaya mchoraji wa hiyo picha!