KARLO MWILAPWA
JF-Expert Member
- Apr 10, 2019
- 3,250
- 5,509
Wewe hautakuwepo.2030 kutakuwa ni vita ya kukata na shoka katika nafasi ya urais itakayopelekea wababe kupigana na kuumizana sana na kuchoka mno na kila mmoja kutotamanika wa kutazamika na mwishoni wa vita hiyo nikasikia sauti ikisema awe huyu na alikuwa ni mwanamke na vita ikaisha hapo na Chama kikaingia uchaguzini wakiwa wamoja na mwanamke huyo akashinda kwa kishindo mno".
2030 kutakuwa ni vita ya kukata na shoka katika nafasi ya urais itakayopelekea wababe kupigana na kuumizana sana na kuchoka mno na kila mmoja kutotamanika wa kutazamika na mwishoni wa vita hiyo nikasikia sauti ikisema awe huyu na alikuwa ni mwanamke na vita ikaisha hapo na Chama kikaingia uchaguzini wakiwa wamoja na mwanamke huyo akashinda kwa kishindo mno".
Mkuu inaonekana hii season ya Mama unanehemeka sanaHii mbona haihitaji utabiri? Mama tunamwongezea miaka 7 aongoze hadi 2037. Kuna kitu kitafanywa pale kwenye katiba. Ndo hitaji la watanzania wengi kwa sasa. Mama Samia anatosha hadi 2037
Mkuu matusi huwa hayakuchoshi, au ushayazoea?Hii mbona haihitaji utabiri? Mama tunamwongezea miaka 7 aongoze hadi 2037. Kuna kitu kitafanywa pale kwenye katiba. Ndo hitaji la watanzania wengi kwa sasa. Mama Samia anatosha hadi 2037
Sometimes anakujaga kivingine anarusha mawe upande huo huo sometimes anakuja kivingine anaupambia balaaMkuu matusi huwa hayakuchoshi, au ushayazoea?
Maana kila comment reply yako ni against na watu tu!
Huwa najiuliza sana ni nini unachokisimamia katika kuvumilia matusi ya raia kwa muda wote!!
Kwa katiba ipi? Ulishawahi kuipitia katiba ya JMT?Hii mbona haihitaji utabiri? Mama tunamwongezea miaka 7 aongoze hadi 2037. Kuna kitu kitafanywa pale kwenye katiba. Ndo hitaji la watanzania wengi kwa sasa. Mama Samia anatosha hadi 2037
hii mbona ni ramli na sio utabiri gentleman?🐒2030 kutakuwa ni vita ya kukata na shoka katika nafasi ya urais itakayopelekea wababe kupigana na kuumizana sana na kuchoka mno na kila mmoja kutotamanika wa kutazamika na mwishoni wa vita hiyo nikasikia sauti ikisema awe huyu na alikuwa ni mwanamke na vita ikaisha hapo na Chama kikaingia uchaguzini wakiwa wamoja na mwanamke huyo akashinda kwa kishindo mno".
Mimi sitegemei kuneemeka kupitia siasa.Mkuu inaonekana hii season ya Mama unanehemeka sana
Mtu anayetukana hapa JF ni wa kumpuuza kwa sababu nje ya hapa hawezi tamka tusi LIVE.Mkuu matusi huwa hayakuchoshi, au ushayazoea?
Maana kila comment reply yako ni against na watu tu!
Huwa najiuliza sana ni nini unachokisimamia katika kuvumilia matusi ya raia kwa muda wote!!
Tatizo nyie mko kupinga kila kitu na kusifia kila kitu kilichopo upande wenu. Mmmekosa uzalendo. Mkiona nakosoa kitu mnasema narushia mawe.Sometimes anakujaga kivingine anarusha mawe upande huo huo sometimes anakuja kivingine anaupambia balaa