Utabiri mwingine wa Lema watimia tena

Kila alichotabiri Lema kimetoke Kwa 98% accurately nakumbuka aliwaonya CCM,

Lissu alipopigwa risasi Lema alisema. Mkitumaliza sisi mtaanza kulana wenyewe Kwa wenyewe Sasa Leo yametimia.
Naunga mkono hoja Thread 'Nabii Hakubaliki Nyumbani! Godbless Lema ni Nabii? Alianza na Ndoto, Ikatimia!, Akaja na Sabaya, Ikatimia!, Sasa ni Makonda, Itatimia? Asipuuzwe!' Nabii Hakubaliki Nyumbani! Godbless Lema ni Nabii? Alianza na Ndoto, Ikatimia!, Akaja na Sabaya, Ikatimia!, Sasa ni Makonda, Itatimia? Asipuuzwe!
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…