bomouwa
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 1,149
- 798
Habari wanajamvi?
Tofauti kati mwanadamu na viumbe wengine ni kuwa na ubongo unaoweza kupambanua mambo.
Nimpongeze sana msanii wa kizazi kipya anaejulikana kama Diamond Platnums kwa kuwa balozi mzuri katika kuitangaza nchi kupitia kipaji chake cha muziki.
Nimekuwa nikifuatilia mambo mengi kuhusu huyu msanii na ama hakika anahitaji pongezi maana anajituma na pia mstahimilivu sana.
Nije kwa mada,kwakuwa siasa za Tanzania haziangalii elimu bali nimeakiasi gani mtu anakubalika na jamii,mie naona 2020 Diamond akigombania jimbo la ama Kawe au Kinondoni tena kwa tiketi ya CCM ili kurudisha jimbo mikononi mwa CCM baada ya kuchukuliwa na wapinzani.
Syndicate inaonyesha msanii huyu amekuwa akitengeneza ukaribu saana na jamii yake (si jambo baya hata kidogo) lakini wasiwasi wangu ni hii hali ya kucheza na media.
Anasomesha watoto na juzi katoa madawati 600 huu ni upendo ndio lakini naangalia katika jicho la utabiri naona kampeni zakutaka wana DSM kumkubali ili imuwie rahisi 2020 ubunge.
Nieleweke sijamsema kwa ubaya maana simuwezi kwa hela,kuimba,demu mzuri,mali,n.k ila nimeongea ninachoona kinakuja tokea.
TUOMBE UHAI 2020 JIBU LITAONEKANA.