Utabiri: Hakutakuwa na awamu ya 3 (part 3) zoezi la kupambana na madawa ya kulevya

Mtarban

JF-Expert Member
Jan 14, 2015
3,858
5,101
Huu ni utabiri wangu tu naomba nisije kukamatwa kuwa nafanya uchochezi

kulingana na hali halisi ilivyo, kuna uwezekeno mkubwa ile muvi ya kutaja wafanyabiashara na watumiaji Wa madawa ya kulevya ikaishia part two. Tunaomba radhi kwa wale mliokuwa mnasubiri kwa hamu ujio Wa part three.

Stelingi Wa muvi amepatwa na dharura nyinine hivyo ameomba radhi kuwa hatoendelea na muvi hiyo.

Jitihada za kumpata stelingi mpya zinaendelea
 
mkuu uko dunia gani

kesho saa 4 asubuhi tega sikio lako
Hao wa awamu ya pili waliotajwa na wa awamu ya kwanza wengi wao wamedinda na kugomea wito! Kati ya 65 waliotii wito ni wanne tu! Hao wa awamu ya pili ndo walitegemewa wawataje wa awamu ya tatu!
Inabidi Makonda akomae na hawa wanaomdindia kwanza ili kufanya vita kuendelea kuwepo barabarani!
 
Inawezekana kijana ameambiwa apeleke majina kwa Mwenyekiti wa Tume ya kudhibiti Rushwa asiyataje majina ya watu hadhara ni anapoteza ushahidi.

Maana jamaa walifanya kazi na Nzowa na anajua njia sahihi ya vita ya madawa nansi kukurupuka.

Yawezekana ndoto yako kuwa kweli.
 
Waache wa gome watafuatwa uko walipo.Tunasisitiza tiisheria bila shuruti.
 
Saa 4 asubuhi , manyangum yanatajwa

Bavicha mmeshaanza kuweweseka

Leo tunataja SUGU yule tukimpima hatukosi BANGI, MIRUNGI , HEROINE NA COCAINE...
naunga mkono mkuu nami naongezea haya msukuma, lusinde, ruge, riz one, dewji, mdee, zungu na hata diamond. tunaomba watanzania waendelee kutaja majina ili vyombo vyetu viendelee kufanya uchunguzi....
 
Inawezekana kijana ameambiwa apeleke majina kwa Mwenyekiti wa Tume ya kudhibiti Rushwa asiyataje majina ya watu hadhara ni anapoteza ushahidi.

Maana jamaa walifanya kazi na Nzowa na anajua njia sahihi ya vita ya madawa nansi kukurupuka.

Yawezekana ndoto yako kuwa kweli.

Najiuliza kwa sauti **** wale wako andikwa jona moja tena Nick names katika Ile list kwa mfano wakitaka kuandulikiwa samansi Na polisi sijui wataandikaje..
 
Saa 4 asubuhi , manyangum yanatajwa

Bavicha mmeshaanza kuweweseka

Leo tunataja SUGU yule tukimpima hatukosi BANGI, MIRUNGI , HEROINE NA COCAINE...
Navipi tukimpima Godfrey Millinga, Lusinde Kibajaj, Kitwanga, etc
 
Saa 4 asubuhi , manyangum yanatajwa

Bavicha mmeshaanza kuweweseka

Leo tunataja SUGU yule tukimpima hatukosi BANGI, MIRUNGI , HEROINE NA COCAINE...
Mkuu manyangumi tayari? Naona muda unayoyoma kimya
 
Back
Top Bottom