TunayaonaNne Afyan itadolola hii ni kutokana na maisha magumu na huduma nazo zitakuwa mbovu hakuna mfano,hapa tutegemee vifo kuongezeka hasa watoto,wazee,wamama na wale masikini,tukumbuke kutenga maeneo ya kutosha ya maziko maana madokta watuua maksudi maana bado wanadai stahiki zao.
Nadhani waliokupinga 2015 wameshatangulia mbele za haki.Sijui Rweye uko wapi mkuu?
Angalia Karama zako, inawezekana hii ya unabii unayo lakini hujui kama unayo.Mkuu mpaka leo sielewi.