Utabiri endapo CCM itashinda

Utabiri endapo CCM itashinda

Puna

JF-Expert Member
Joined
Oct 9, 2013
Posts
2,770
Reaction score
4,856
Baadhi ya mambo ambayo watakumbana nayo endapo Magufuli atashinda ni kama ifuatavyo:-Kwanza watanzania wengi watamkumbuka sana Rais Kikwete. Pili watanzania wengi tutachukiana wenyewe kwa wenyewe hii ni kwa sababu ya hali ngumu ya maisha na hapa tutegemee noti ya sh elfu hamsini maana shilingi yetu itaporomoka mara dufu,kama uhamini ebu angalia shilingi ilivyo wakati tuna raisi mchumi na mawaziri wachumi wenye first class sembuse akija injinia?.Tatu elimu itaporomoka kuliko kipindi chochote kile maana walimu watazidi kudharauliwa na wao kuizika mazima elimu,shule za private zitakuwa na ada maradufu na wenzangu na mie hapa ni kufunga kizazi tu maana hatutaweza kusomesha tena.Nne Afyan itadolola hii ni kutokana na maisha magumu na huduma nazo zitakuwa mbovu hakuna mfano,hapa tutegemee vifo kuongezeka hasa watoto,wazee,wamama na wale masikini,tukumbuke kutenga maeneo ya kutosha ya maziko maana madokta watuua maksudi maana bado wanadai stahiki zao.Hawa madokta na walimu ndo wataimaliza kabisa hii nchi.Tano na mwisho wawekezaji waatahamisha mali kwa kasi ya ajabu sana huku watanzania wakiishia kusoma vichwa vya habari vya magazeti tu na kuisihia kushangaa na kubishana kwenye meza za magazeti si unajaua tena nchi ya wapumbavu na malofa.Amani nchi hii itaendelea kuwepo hakuna wakuvuruga amani na baada ya uchaguzi tutaendelea na yale yale maisha yetu ya kushundia mihongo.Huu ni utabiri wangu msikasirike Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika.

WEWE MTANZANIA MWENZANGU MAAMUZI YAKO NDIO KESHO YAKO AMUA VEMA UPATE MEMA. TAR 25/10/2015.:A S 27:
 
ccm haiwezi kushinda this time. Hilo liko wazi
 
Hauko realistic na hoja yako ni mfu.
 
Hoja zimejengwa kwenye msingi wa mrenda.
 
Magufuli atawashughulikia mafisadi ambao wamefanya elimu kuwa biashara badala ya huduma
 
ni kweli. tutamkumbuka Kikwete, tutalia tutaimba heri Jakaya yule alikua MTU mpole.

Nchi itakua ngumu na pressure groups zitaongezeka na chuki za kisiasa zitaendelea.

HAKUNA KITAKACHOFANYIKA ,KIONEKANE BAADA YA MIAKA MITANO.

itakua tofauti kama CCM ikishinda ikiamua kuunda Umoja wa kitaifa.
 
Ukiwa mwelewa possibility ya kufa mapema ni kubwa sana kwasababu ya msongo wa mawazo na kufikiri sana wajinga wana raha sanaa tena sana. imagine wizara ya Afya inahitaji billioni 577 kwaajili ya kununua dawa na kutuhudumia mahospitalini lakini bunge linawaidhinishia billion 36 sawa na asilimia 6 pekee. na hizo billioni 36 uwezekano wa kupewa zote ni mdogo sana tena sanaa, hiyo ni sekta inayohusika na uhai wa watu its simple jibu ni kuwa vifo vitaongezeka maradufu.
 
Mkuu Fiati umeshau watoto wa mitaani kuongezeka pamoja na kuwa roho mbaya zaidi ya simba
 
Last edited by a moderator:
Mi naatabiri magufuli akipita baada ya mwaka jeshi litachukua nchi...na uchaguzi ukiitwa ccm watapata kura ndogo kuliko udp..huyu pombe hashauriki..
 
Acheni dhihaka waungwana. Nchi inaweza kuwa mahiri katika upigaji push ups na kama mchezo huo upo kwenye Olimpic basi medali zote tutachukua sisi.
 
Baadhi ya mambo ambayo watakumbana nayo endapo Magufuli atashinda ni kama ifuatavyo:-Kwanza watanzania wengi watamkumbuka sana Rais Kikwete. Pili watanzania wengi tutachukiana wenyewe kwa wenyewe hii ni kwa sababu ya hali ngumu ya maisha na hapa tutegemee noti ya sh elfu hamsini maana shilingi yetu itaporomoka mara dufu,kama uhamini ebu angalia shilingi ilivyo wakati tuna raisi mchumi na mawaziri wachumi wenye first class sembuse akija injinia?.Tatu elimu itaporomoka kuliko kipindi chochote kile maana walimu watazidi kudharauliwa na wao kuizika mazima elimu,shule za private zitakuwa na ada maradufu na wenzangu na mie hapa ni kufunga kizazi tu maana hatutaweza kusomesha tena.Nne Afyan itadolola hii ni kutokana na maisha magumu na huduma nazo zitakuwa mbovu hakuna mfano,hapa tutegemee vifo kuongezeka hasa watoto,wazee,wamama na wale masikini,tukumbuke kutenga maeneo ya kutosha ya maziko maana madokta watuua maksudi maana bado wanadai stahiki zao.Hawa madokta na walimu ndo wataimaliza kabisa hii nchi.Tano na mwisho wawekezaji waatahamisha mali kwa kasi ya ajabu sana huku watanzania wakiishia kusoma vichwa vya habari vya magazeti tu na kuisihia kushangaa na kubishana kwenye meza za magazeti si unajaua tena nchi ya wapumbavu na malofa.Amani nchi hii itaendelea kuwepo hakuna wakuvuruga amani na baada ya uchaguzi tutaendelea na yale yale maisha yetu ya kushundia mihongo.Huu ni utabiri wangu msikasirike Mungu ibariki Tanzania Mungu ibariki Afrika.

WEWE MTANZANIA MWENZANGU MAAMUZI YAKO NDIO KESHO YAKO AMUA VEMA UPATE MEMA. TAR 25/10/2015.:A S 27:
Kumbukizi Inawezekana utabiri!Nawezaje kubatilisha huu utabiri?
 
Duuuh mkuu ilikuwaje mpaka ukatabiri haya na ndio yanatokea sasa
Mkuu sielewi!niliandika tu yaani nilikuwa Kama mtu anayeropoka alafu baadae unajiuliza kwa nn nilizungumza yale.
 
ni kweli. tutamkumbuka Kikwete, tutalia tutaimba heri Jakaya yule alikua MTU mpole.

Nchi itakua ngumu na pressure groups zitaongezeka na chuki za kisiasa zitaendelea.

HAKUNA KITAKACHOFANYIKA ,KIONEKANE BAADA YA MIAKA MITANO.

itakua tofauti kama CCM ikishinda ikiamua kuunda Umoja wa kitaifa.
Tawile baba!
 
Back
Top Bottom