Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 493
- 610
Habari wana jf,,,, natumai mko pw kwa waliobahatika kuona ule utabiri wangu wa group stage ambayo imetoka leo,,
Niliitabiri wiki moja before jinsi makundi yatakavyokuwa na ndivyo hivyo yametokaeo hiiiii..
Natabiri from group stage up to final yaani nani atapita makundi na nan ataingia robo na kutinga nusu fainali na yupi ataingia final na mshindi atakuwa yupi.....God bless
GROUP A WINNEE
1.mamelodi
2.pyramids
GROUP B WINNER
1.wydad ac
2.asec mimosa
GROUP C WINNER
1.al hilal
2.petro atletico
GROUP D
1.young africans
2.al ahly
NB: NIMETABIRI TU MIMI SIYO MCHAWI WATU WAMEZOEA KUNIITA MCHAWI LAAHASHA MI SIYO MCHAWI NA SIYO LAZIMA ITOKEE IVO JAPO SIJAWAHI KUFELI...... LABDA UNAWEZA KUJA NA UTABIRI WAKO NOTE SIJAWAHI KUFELI