Smith Rowe
JF-Expert Member
- Sep 18, 2018
- 3,316
- 5,442
hakikaMchawi hatoki mbali
hakikaMchawi hatoki mbali
Ivi wanapita wangapi?Now zimebaki match 2 katika group stage, Congo DRC hapa Taifa na Madagascar kule Antananarivo
Inabidi tushinde match zote zilizobakia bila ya kujali mwenzako amedraw au kashinda
Ikitokea leo congo akashinda match yake, ataongoza kundi na kuwa na Point 8,wa pili Tanzania point 7,na tatu Benin point 7.
Hapo ni kila mtu ashinde match zake
MmojaIvi wanapita wangapi?
Now zimebaki match 2 katika group stage, Congo DRC hapa Taifa na Madagascar kule Antananarivo
Inabidi tushinde match zote zilizobakia bila ya kujali mwenzako amedraw au kashinda
Ikitokea leo congo akashinda match yake, ataongoza kundi na kuwa na Point 8,wa pili Tanzania point 7,na tatu Benin point 7.
Hapo ni kila mtu ashinde match zake
Mechi badoCongo amepigwa moja huko
Daaah kila lenye heri MadagascarCongo amepigwa moja huko
Magroup yapo kumi na kila group linatoa timu mojaBaada ya hapo mchakato unakuaje?
Mwendo wa play off?
Magroup yapo kumi na kila group linatoa timu moja
Tunaenda kucheza play off, game za home and away, zinabaki timu tano ndio zinaenda world cup
Yani huyo Congo akija pale Taifa hakuna kutoka
Magroup yapo kumi na kila group linatoa timu moja
Tunaenda kucheza play off, game za home and away, zinabaki timu tano ndio zinaenda world cup
Inshallah, tuvuke kwanza hapaTunaweza kuushangaza Ulimwengu wa Soka safari hii tukatinga Qatar,ngoja tuvuke kwanza hii group stage
Kuna muda naotaga ndoto za kweli sijui ni roho mtakatifu hunishukia au la! But changamoto niliyonayo ni usahaulifu wa ndoto nikiota, hii imekuwa changamoto kubwa sana kwangu. Kipindi nasoma nilikuwa naota hadi paper la mtihani, wanafunz wenzangu walikuwa asubh wananizunguka kuniulizia nilivyoviota na cha ajabu mm nikikuwa siamini katika ndoto nilikuwa mpuuziaji mkubwa mno mpk ikitokea ndo nakumbuka mbona niliota!!!!We jamaa ni mshika tunguli
Halafu utapata faida gani ndugu Mchimba Chumvi?