UTABIRI: Baada ya siku ya valentine

autorun255

JF-Expert Member
Joined
Sep 8, 2013
Posts
1,105
Reaction score
364
Kutakuwa na :
1. Kufulia kwa wanaume waliojitutumua kuwanunulia mademu zao vitu vya dhamani kuzidi uwezo walio nao
2. Kutendwa kwa pande zote mbili hasa hasa wanawake baada ya kutumiwa.
3. Kudumu kwa mapenzi kwa wale walio wenye msimamo na mahusiano


Hebu toa utabiri wako baada ya valentine.
 

Majibu hayawezi patikana leo yote mengine baada ya miezi 3 VVU na wengine bado wanasikilizia maumivu.....chezea vya watu uone.
 

Wengi wameambukizwa HIV na magonjwa tofauti ya zinaa.
 
Wengi wameambukizwa HIV na magonjwa tofauti ya zinaa.

Naona hilo la hiv linaongoza kwa comments.
Tujadili na kwa upande wa chanya.
Je ww unaonaje binafc valentine imesaidia au ndo imekuharibiria?
 
Umenikumbusha nilivyoshiriki kumng'oa nduli...........
Siku yako iliisha salama........?

hehehe!!! nakumbuka wakati unamvuta nduli masikio!! siku yangu iliisha salama kabisa, sijui kwako na valentino wako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…