G4rpolitics
JF-Expert Member
- Jul 29, 2015
- 4,376
- 5,264
Ni kesho kutwa mkuu
Mtungi wa gesi kg 13 huko Kenya huuzwa kwa Ksh 403 sawa na shilingi za kitanzania 7366...
Mkuu uisome hii:Mbali sana ni 2025
Sii kweli!. Uchaguzi mkuu wa mwaka 2030, ndio mwanzo wa mwisho wa CCM! Wajinga karibu wote watakuwa wamemalizika!Wala haina ubishi, kila kitu kipo wazi kwa sasa, Chadema nawapongeza kwa hii style mliyo kuja nayo, hata kule Kenya, kuitoa KANU wapinzani walishika urafiki nao na kujua siri zao zoote, hakukuwa na haja ya maandamano, wala kupigana ila mwisho wa siku ilikuwa rahisi kama kumsukuma mlevi, hivyo plan master wa CDM kwa hili Big up, nendeni nao hivyo hivyo wameshalegea, 2025 mnawalegezea ili kuwapasua mdogo mdogo, then 2030 tutegemee chama kipya na watu wapyaa! ccm bye bye 2030.
Hii kitu imeniumiza sana lakini natambua wote tuna majibu yanayofanana ukitoa wale wengineMkuu uisome hii:
Mtungi wa gesi kg 13 huko Kenya huuzwa kwa Ksh 403 sawa na shilingi za kitanzania 7366
Mtungi wa gesi Kg 14.5 Tanzania huuzwa shilingi za kitanzania Tsh 55,000 sawa na Ksh3012
Tofauti
Kenya mtungi wa kg 13 ni shilingi za kitanzania Tsh 7316
Tanzania mtungi wa kg 14.5 shilingi za kitanzania Tsh 55,000
Swali:
Kenya wanasomba gesi baharini....?
Ingieni huko tafiti ndogo tu mjionee....
Mshana Jr
Anguko lipo mkuuHaitokuwa rahisi kihivyo
Uongozi wa Samia utaisha vzr sana mkuu na utakuwa tayari umeujenga upinzani hpo 2030, hiki ndicho kilichoibomoa chama tawala kule KenyaNimecheka kama mtoa mada ndio mashabiki halisi wa Upinzani unasafari ndefu Sana kufika mbali yaani umeongea vice versa Mama Samia ndio anavunja Upinzani wewe uoni Upinzani wanampigia kampeni Mama mpaka wanamwalika Bawacha kuhutubia. Mashabiki wa CCM na CHADEMA kwa kweli hawana utofauti aisee
2025 bdo watampumbaza mama ili azidi kusahau kma Kanu alivyofanywa.Mbali sana ni 2025