Utabiri 2020

hata wewe ungekuwa mwanasiasa ungefanya hivyohivyo!
 
Ni muda muafaka kuanza kuchukua kadi ya kijani,
Hapo ndipo mnapokamatiwa maana wakiona wingi wenu wanageuza matokeo na hakuna namna ya huhoji kutokana na wingi, bila kujali mlikua mnatania.
Ushaeri kaeni mbali na hili jini ccm bila kujali vielufu 10, 10 vyakampeni.
 
STRATEGY NZURI SANA HII YA KUINGIZA WATU KINGI. KWANZA KATIKA HALI YA KAWAIDA MTU MWENYE KUJITAMBUA UTAJIULIZA KWANINI IWE HUO MWAKA NA SIO MIAKA YA NYUMA? NDIPO UTAPATA PICHA HALISI.

NA WABONGO HUWA HAWAWAZI YA KESHO WAO WANACHOJUA NI KULA NA KUNYWA TUU PASIPO KUWAZA KESHO WATAKULA NINI, WATAKUNYWA NINI NA FAMILIA ZAO ZITASHIJE.
WAJINGA NDIO WALIWAO POLENI SANA...
KINACHOFANYIKA HAPO NI KUJENGA IMANI/TRUST KWA WANANANCHI HALAFU YOU WIN THEM (KWENYE SANDUKU LA KURA)/UNAWASHINDA BAADAE UNAWA DUMP/WATUPA.

HII MBINU ZA KISASA NI NZURI SANA ILA KWA WALE WAJINGA WASIOJITAMBUA KWA KITU KINACHOFANYIKA MARA KWA MARA KWA ZAIDI YA MIAKA 60 BADO MTU UNAZUBAA ZUBAA KAMA PAKA MWENYE MAKENGEZA.
POLENI SANA.
 
Baada ya Octoba sasa ndio cha moto tutakiona! Lazima hayo yote tutalipa!
 
Hapo ndipo mnapokamatiwa maana wakiona wingi wenu wanageuza matokeo na hakuna namna ya huhoji kutokana na wingi, bila kujali mlikua mnatania.
Ushaeri kaeni mbali na hili jini ccm bila kujali vielufu 10, 10 vyakampeni.

Mkuu sio vi elufu kumi kumi tunalinda biashara zetu ila moyoni tunaumia.
 


Kweli kabisa, tujitokeze kumchagua Magufuli again kwani by that time 2020, nchi itakuwa imenyooka na kueleweka. Tusifanye makosa kabisa kuchagua mtu kama Lissu or anybody wa TLS, Zitto, Mbowe because wako very useless na siyo visionaries.
 
Huu si utabiri bali ni ramli ya mganga mshana dr.tungulee
 
Ni sawa ila baada ya 2021 mambo yatakuwa kinyume chake.
 
Hata nikikuta semi imejaa noti nyumbani kwangu 2020 sichagui taahira
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…