Utabiri 2017 Maalim Hassan Y. Hussein afunguka

itakuwa China hiyo...

ili waendelee kututawala vizuri...
hawa hawa kaka kila mtu anaingiza siasa, mpaka watabiri, waganga wa kienyeji, makanisani na misikitini ni siasa tu, sijui ka tutafika
 
Aongee tu atakavyo, ila asimguse juma pumba mashudu, hata utabiri usipotimia mdomo halipii vati!
 
Chama kilichopoteza mwelekeo kinafahamika ni cc b ambacho ni TLP .
NB: alichokisema hapo sioutabiri bali nikuongea ukweli wa kileambacho tayari kipo
 
utabiri huu ni sawa na ule wa mh lema mbunge .au naota tu.
 
huyu na TB Joshua na Lusekelo, kakobe, nawashangaa sana.

namkumbuka Mugo wa kibiro
"Mugo wa kibiro" [emoji118] mkuu umenikumbusha "skuli" mambo ya literature [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Awe Joshua, awe Hussein awe nani!! Wote Wa aina hiyo hawawezi kuwa chanzo cha mjadala kwa GT's.
Congrats "a verified JF member" 4 being among JF's great thinkers .... sie narrow minded ngoja tuendelee kuzitafakari kauli za huyu maalim
 
Chezea njaa wwe,atutabirie faru Jon alipo km anaweza
" .... atutabirie faru john alipo ...." [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] Jf buana .... yaani burudan tosha ..... konda shusha hapo mbele kwenye tuta [emoji1] [emoji1]
 
Naaitabirie CCM kwanza, mlevi tu huyu hana lolote, nani anaejua mipango ya Mungu zaidi ya Mungu mwenyewe?
 
Heri ww ulojaaliwa kufaham japo kias flan .... hongera ..... mana pana watu humu ni majanga aseee
 
Kuna watu wanakesha humu wakikosoa ndoto za Lema na ukiwasikiliza wana hoja za msingi, lkn leo wako mbele kushadadia ndoto za huyu mpiga tumba.
Nime like kwa bahati mbaya.simpendi lema kabisa.shindwa pepo.
 
Hivi utabiri wa hivi si ni sawa na kuota ndoto?
 


Shetani @ work.

Afe kwanza mgombea aliyechukua form na kikwet
 
anatembelea nyota ya baba yake hana lolote
 
Heri ww ulojaaliwa kufaham japo kias flan .... hongera ..... mana pana watu humu ni majanga aseee
Nyota? Mnasubiri kuonyeshwa nyota zenu na wapiga ramli? Wao nyota zao zimewashinda kutwa kucha kutafuta za wenzao.!! Poleni Viongozi wa dini mnaoongoza waumini wanaosubiri kusafishiwa nyota kama huyu ambaye yuko busy na nyota kama jina lake.
 
Nyota? Mnasubiri kuonyeshwa nyota zenu na wapiga ramli? Wao nyota zao zimewashinda kutwa kucha kutafuta za wenzao.!! Poleni Viongozi wa dini mnaoongoza waumini wanaosubiri kusafishiwa nyota kama huyu ambaye yuko busy na nyota kama jina lake.
".... niko "busy" na nyota kama jina langu ..." asante mkuu .... aman tu
 
Amegombea udiwani mara mbili kata ya Magomeni kupitia Chadema na hajapata kitu, je alikuwa hawezi kujitabiria?

Sasa amerudi ccm naona kaswende ya ubongo inamsumbuwa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…