Utabiri 2017 Maalim Hassan Y. Hussein afunguka

busy bees

JF-Expert Member
Joined
Aug 26, 2016
Posts
2,249
Reaction score
1,348


Mtabiri maarufu Tanzania Maalim Hassan Y. Hussein na ambaye pia ni mtoto wa alokuwa mtabiri wa Tanzania na Afrika Mashariki the late Sheikh Yahya Hussein ametabiri mambo mengi na matukio mengi yanayotarajiwa katika mwaka huu 2017 ....

Miingoni mwa hayo ni .....
"Viongozi wakubwa wa vyama vya upinzani duniani ikiwamo Tanzania watarejea kwenye vyama walivyovihama" ...... " .... sambamba na kifo cha chama kimoja maarufu cha siasa hapa nchini" Alisema Maalim Hassan Y. Hussein ....

Na: Frank Monyo - Nipashe
 
chama gani maarufu cha siasa hapa nchini....?nadhani wote mnakijua....lakin toka niko mdogo naonaga kuna vyama vinakuja vinakuwaga na nguvu lakini vinashindwa kufikia adhima zao...mfano..hapo awali...kulikuwaga na NCCR Mageuzi,ilikuwa na nguvu ikatoweka, ikaja TLP ilikuwa na nguvu pia ikatoweka, ikaja CUF ilikuwa na nguvu ikatoweka, na sasa ni CHADEMA ina nguvu je nayo itatoweka...mimi nawewe hatujui...
 

Mbona alishindwa kutabiri kifo cha baba yake marehemu Sheikh Yahya Hussein??
 
Kuna watu wanakesha humu wakikosoa ndoto za Lema na ukiwasikiliza wana hoja za msingi, lkn leo wako mbele kushadadia ndoto za huyu mpiga tumba.
huyu na TB Joshua na Lusekelo, kakobe, nawashangaa sana.

namkumbuka Mugo wa kibiro
 
Chezea njaa wwe,atutabirie faru Jon alipo km anaweza
 
umesahau na 1 kasema kuwa mwaka huu mtukufu atapokea tuzo ya uwajibikaji mzuri kutoka taifa 1 kubwa duniani hajalisema ni nchi gani
itakuwa China hiyo...

ili waendelee kututawala vizuri...
 
Utabiri sio dhambi ....Kwani elimu ya nyota...hata yesu alipozaliwa wanajimu walisoma ile nyota na kujua fulan amezaliwa pahala fulani hata ww ulpoxaliwa nyota yako ilionesha...ila ka sie tusojua ndo ivo ila hata hao viongoxi wa nchi hawaendi popote bila kutazama elimu ya nyota ipo kabisa...ivo uyo kafanya utabiriwi kulingana na elimu yake....na sometime mambo hubadilika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…