tehe tehe...we jamaa vipi tena..au..au..!?? kuwa muwazi bwana ...Najua kuna wanaume wengi ndani ya ndoa wanakua wana wanawasi wasi na watoto wanaowazaa kama ni wao au sio esp kama mtoto hafanani na baba kabisa.
Kudhibitisha kama ni wa kwako lazima DNA itumike hapo.
Mwenye ujanja atutatulie hili jinsi gani ya kumueleza mkeo akuelewe ili mkacheki DNA.
sio kwamba lazima wote mpeleke mate yaani mke ,mtoto na baba.....hakuna haja ya kumwambia mkeo,we chukua mate ya huyo mtoto wako mpelekee Dokotela na mpunga wa nguvu atakufanyia DNA bila hata ya my wife wako kujua.Nalog off
tehe tehe...we jamaa vipi tena..au..au..!?? kuwa muwazi bwana ...
Ukacheki dna ili iweje?
sasa tukiendelea kuogopa ugomvi ile asilimia ya sisi wanaume wa Tz tunalea watoto wa nje si itafika asilimia 99 mpaka 2015Kwa nini mkacheki? Lazima uwe na sababu ya msingi, la sivyo tazuka ugomvi mkubwa ambao hautakuwa na suluhu.
nafanya uchunguzi kaka, kuna riport ilitokaga kwamba asilimia kubwa ya wanaume wa Tz tunalea watoto ambao sio wetu.......nataka tujikwamue kwa anayejua mbinu ya kumpima mtoto bila ya mama.
check kimya kimya na majibu ubaki nayo kimya.