kichaamuerevu Member Joined Jun 28, 2013 Posts 24 Reaction score 3 Jul 1, 2013 #1 Unaamka Asubuhi unakutana na miss call.7..1ANAYEKUDAI.2 UNAYEMDAI 3.MPENZI WAKO 4.MAMA YAKO 5.BABA YAKO 6.BOSI WAKO 7.RAFIKI YAKO KIPENZI.Ni nani utaanza kumpigia cm hebu nipe jibu nijifunze kutoka kwako usiache kunijibu
Unaamka Asubuhi unakutana na miss call.7..1ANAYEKUDAI.2 UNAYEMDAI 3.MPENZI WAKO 4.MAMA YAKO 5.BABA YAKO 6.BOSI WAKO 7.RAFIKI YAKO KIPENZI.Ni nani utaanza kumpigia cm hebu nipe jibu nijifunze kutoka kwako usiache kunijibu
Negrodemus JF-Expert Member Joined Dec 30, 2010 Posts 2,318 Reaction score 688 Jul 1, 2013 #2 aliyepiga simu
Binti Magufuli JF-Expert Member Joined Apr 2, 2011 Posts 7,479 Reaction score 5,161 Jul 2, 2013 #4 Kisiori ntasema mama ila kiuhalisia ni mpenzi
Bishanga JF-Expert Member Joined Jun 29, 2008 Posts 15,321 Reaction score 10,140 Jul 2, 2013 #5 Kichaa......mwerevu.......mmmmmhhhhh hiyo ID......
Lady doctor JF-Expert Member Joined Apr 13, 2013 Posts 8,756 Reaction score 7,005 Jul 2, 2013 #6 Na ninae mdai
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,033 Reaction score 110,682 Jul 2, 2013 #7 Kwa kuwa mimi ni Mpare hizo 1 & 2 hazinihusu kabisaaaaa!!!
Lucas JF-Expert Member Joined Dec 3, 2011 Posts 2,457 Reaction score 1,111 Jul 2, 2013 #8 circumstances will tell
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,867 Jul 2, 2013 #9 watu8 said: Kwa kuwa mimi ni Mpare hizo 1 & 2 hazinihusu kabisaaaaa!!! Click to expand... Watu 8 wetu"!" Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
watu8 said: Kwa kuwa mimi ni Mpare hizo 1 & 2 hazinihusu kabisaaaaa!!! Click to expand... Watu 8 wetu"!"
Watu8 Platinum Member Joined Feb 19, 2010 Posts 77,033 Reaction score 110,682 Jul 2, 2013 #10 Mzee said: Watu 8 wetu"!" Click to expand... Heheh mie thikopi wala thikopesheki... Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Queen Kan JF-Expert Member Joined Dec 26, 2012 Posts 5,302 Reaction score 9,102 Jul 2, 2013 #12 Ma mama
Mzee Platinum Member Joined Feb 2, 2011 Posts 13,620 Reaction score 5,867 Jul 2, 2013 #13 watu8 said: Heheh mie thikopi wala thikopesheki... Click to expand... nikutonga na bajeti. Watu 8. Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Himidini JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 5,534 Reaction score 4,193 Jul 2, 2013 #14 Lady doctor said: Na ninae mdai Click to expand... ^^ Aisee mamangu,,we nawe kumbe umeishi kwa M=Mungu O=Onyesha S=sasa H=hela I=iliko karibu tena Moshi asee ^^
Lady doctor said: Na ninae mdai Click to expand... ^^ Aisee mamangu,,we nawe kumbe umeishi kwa M=Mungu O=Onyesha S=sasa H=hela I=iliko karibu tena Moshi asee ^^
stevoh JF-Expert Member Joined Dec 5, 2011 Posts 2,921 Reaction score 1,107 Jul 2, 2013 #15 Atakayekua amepiga wa kwanza hapa tunatumia "FIFC" YAANI "FIRST IN FIRST CALL"
kichaamuerevu Member Joined Jun 28, 2013 Posts 24 Reaction score 3 Jul 4, 2013 Thread starter #16 yaap its ma ID
kichaamuerevu Member Joined Jun 28, 2013 Posts 24 Reaction score 3 Jul 4, 2013 Thread starter #17 stevoh said: Atakayekua amepiga wa kwanza hapa tunatumia "FIFC" YAANI "FIRST IN FIRST CALL" Click to expand... Mmmmmmh
stevoh said: Atakayekua amepiga wa kwanza hapa tunatumia "FIFC" YAANI "FIRST IN FIRST CALL" Click to expand... Mmmmmmh