Utaalamu wa Binadamu

Kuna wengine kwao ni lazima ili wapate radha tofauti ya maisha.
MKUU KWANI NI LAZIMA KWENDA HUKO?HUKO KAMA NIKIENDA SIKAI KWENYE GARI NATEMBEA AU NAENDESHA PIKIPIKI MWENYEWE
 
Wapare hawataogopa mana nasikia huko kwao baadhi ya sehemu zinafanana na hiyo picha ya mwanzo.
Wapare mkujee kutupa ukweli.
Ila mimi huko siendi kabisa.
Na nikienda labda kwa miguu maana nikipanda usafiri wowote naweza kufa kwa woga kabla sijafika.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…