Rohombaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 13,065
- 10,384
Mahitaji
1. Computer
2. Printer
3. Kitunguu swaumu
4. Manyoya ya kichwani ya kondoo
5. Sindano 3
6. Chumvi
7. Unga wa zaumbi uliyofungashwa kwa kipande cha kaniki
8. Mafuta ya zaituni Lita 1
Namna ya kutengeneza
1.Print post ya mbaya wako kisha andika IP address chini yake halafu ichome moto na ukusanye majivu
2. Chukua mazagazaga yote hapo isipokuwa Kitunguu changanya kisha pika pamoja juu ya kichuguu kwa nusu saa hivi.
3. Kata Kitunguu vipande vitatu
-weka kipande kimoja kama lengo lako ni kumpa onyo (hakuna uharibifu Ila cha moto atakiona)
- Weka vipande viwili kama lengo lako ni kuharibu mali zake (simu, computer, bodaboda, gari etc)
- Weka vipande vitatu kama lengo ni kumRIP.
Subiri vichemke hadi vikauke kisha kaa usubiri taarifa.
Kumbuka kutaja jina la mbaya wako liwe halisi au analotumia mtandaoni Huku Ukianza na neno ____(NiPM nikuuzie) na ukiweka vitunguu tu huwezi kuahirisha shambulizi tena,
Hii radi hupiga popote duniani
Karibuni
-