Kimwakaleli
JF-Expert Member
- Apr 16, 2018
- 12,224
- 17,014
- Thread starter
-
- #41
Ndio mkuu'legancy'!Unazungumzia "legacy" au sio mkuu? Vijana wanapaswa kupunguza masuala ya hovyo (kuacha 100% ni ngumu) na kufanya masuala yenye impact kubwa ndani ya jamii zao.
Mimi na wewe tujitahidi kuacha "legacy" njema ndani ya jamii zetu baada ya kuwa tumekufa.Ndio mkuu'legancy'!
Sawa mkuu,nitazingatia hayo!Mimi na wewe tujitahidi kuacha "legacy" njema ndani ya jamii zetu baada ya kuwa tumekufa.
Sawa mkuu!Tutarejesha utawala wa sheria. Kila mmoja awe sawa mbele ya sheria. Natamani kukumbukwa kama au zaidi ya anavyokumbukwa Hayati Mchungaji Christopher Mtikila
Sawa,ila wema hauozi!Dunia ya leo wewe fanya unaloona ni jema usifanye ili ukumbukwe; Binadamu hawakumbuki fadhila watakachofanya ni kuangalia ni wapi ulitoka kwenye njia au kukulaumu kwa shortcomings zao...
Kwahio fanya unachofanya sababu ni chema kukifanya sio ufanye ili ukumbukwe; we have short memories na wengine watapindisha historia ili wakuchafue tu; Human Beings are Bad People ....
Unafanya wema ili ukumbukwe ?!!Sawa,ila wema hauozi!
Sio kama wewe akili yako umeifungia kwenye mtungi?Njoo Dodoma tupime afya ya Akili Yako!Maana kwa hayo maswali utalazwa mwaka!Haiko sawa Akili.
Sawa mkuu,utakumbukwa tuu hata ukiwa katili kama Hitler utakumbukwa tuu,ni muda tuu.Unafanya wema ili ukumbukwe ?!!
Tenda Wema uende zako; Sababu Binadamu Mpuuzi ukimfadhili atakuuzi bora kumfadhili Mbuzi utampika Mchuzi...; Unless wewe ni kama mimi unafanya wema sio kutegemea return
Udongo unaoujua wewe! Maswali ya Mirembe yapo kama karibu sana ,Dodoma.Sio kama wewe akili yako umeifungia kwenye mtungi?
Utasemaje "tumetoka kwa udongo, tutarudi kwa udongo"..... wewe ulitokea kwenye udongo upi? Mfinyanzi, Kichanga au Tifutifu??
Hapo Mirembe wewe ndie mgonjwa mwandamizi? Maana sio kwa promo hiiUdongo unaoujua wewe! Maswali ya Mirembe yapo kama karibu sana ,Dodoma.
Sawa karibu uwe Jr wa Mirembe hatuna ubaguzi hata dish likiyumba vipi queen Ndoto!Hapo Mirembe wewe ndie mgonjwa mwandamizi? Maana sio kwa promo hii
Wewe unamkumbuka babu yako, mzaa babu yako mzaa babu yako ? (After all alifanya jambo la muhimu sana as long as you are concerned; kuanzisha hio chain iliyokuleta wewe) Au yule jamaa aliyegundua Matumizi ya Diesel; au ni mara ngapi ukiwasha taa unasema (Thanks Faraday )?Sawa mkuu,utakumbukwa tuu hata ukiwa katili kama Hitler utakumbukwa tuu,ni muda tuu.
sahihi mkuu!Wewe unamkumbuka babu yako, mzaa babu yako mzaa babu yako ? (After all alifanya jambo la muhimu sana as long as you are concerned; kuanzisha hio chain iliyokuleta wewe) Au yule jamaa aliyegundua Matumizi ya Diesel; au ni mara ngapi ukiwasha taa unasema (Thanks Faraday )?
Au ni wangapi badala ya kushukuru kazi nzuri ya waasisi wanawataja pale tu maisha yakiwagonga (kwamba ndio walituletea umasikini)
The moral of the story (mtizamo au mawazo ya watu usikusume kufanya mambo) unaweza ukajikuta haufanyi what's good bali what's famous...sahihi
Ogo tata ndaga!Sawa kikolo!Ukikumbukwa/usipokumbukwa wewe marehemu uliyelala kaburini inakusaidia nini? 😳😳😳
Guess what? After 3.5 billion years, our star (the sun) will run out of fuel and it will expand and become a red giant. It is believed that Mercury, Venus, Earth and probably Mars will be fried up (just like the Bible says that Dunia Itachomwa moto!)...and after that nobody will ever know that a tiny habitable, rocky planet called Earth ever existed!