Utaacha nini hata ukumbukwe?

Kimwakaleli

JF-Expert Member
Joined
Apr 16, 2018
Posts
12,212
Reaction score
17,006
Maisha ni safari ndefu, wahenga walisema ni kweli! Mtu anazaliwa, analia, anasoma, anao/anaolewa na kupata watoto, mwisho wa siku anazeeka au hata akiwa kijana anakufa.

Sasa jamii na familia kwa ujumla itamkumbuka kwa lipi hasa ambalo wanaona ni pengo kwao? Mfano Nyerere, Nelson Mandela, Moringe sokoine, Samora Machel Abrahaman Babu, Bibi Titi Mohamed nk, wanakumbukwa kwa kujitoa kwao kupigania Uhuru wa Nchi zao, wewe je?
 
Ntaacha watoto
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…