wamisako
JF-Expert Member
- Aug 28, 2015
- 917
- 871
Baraza la mitiahani NECTA limeagizwa kusitishwa kwa igawaji wa vyeti vya kidato cha sita kwa wahitimu walio maliza kidato cha sita 2015 huku vile vilivyo gawanywa kwa watahiniwa vikitakwa kurejeshwa kwenye chombo hicho. Habari kamili gazeti la Nipashe February 23rd 2016