Uswazzz! ndani ya passport size.

Mkuu sisi warefu huwa tunapata tabu sana..
 
Loh hiyo bahari ya nje haikuingia ndani ya choo pia?
 
Daaah huu Usawa wa maisha sio, ni mwendo wa kuchuchuma tu kama mateka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…