donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,258
- 22,140
- Thread starter
- #21
HahahahTunaharibiana siku mi nshapumzika hayo mambo wee unanitia majaribuni aaaagh!
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahTunaharibiana siku mi nshapumzika hayo mambo wee unanitia majaribuni aaaagh!
usiende kabisa mkuu kula vyombo hadi uzime, jumatatu ndo uende. Nchi huru hiiMkuu natafuta confidence, nasakkwa kazinni siku 3 sijaonekanna ndo nataka nikawatokee kama mzimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mimi ni mchanganyiko wa mzulu na mhadzabe [emoji12]Hiyo avatar yako kama mzulu kwa madiba2
Uzee huu hebu njoo inbox tubadilishane mawili matatuNdio mimi ni mchanganyiko wa mzulu na mhadzabe [emoji12]
Wewe ni mjeshi, nakuogopa. Kwanza wewe ni huyo wa kike au wa kiume?[emoji23]Uzee huu hebu njoo inbox tubadilishane mawili matatu
Hata sipo hapo njoo upande wa piliWewe ni mjeshi, nakuogopa. Kwanza wewe ni huyo wa kike au wa kiume?[emoji23]
HayaHata sipo hapo njoo upande wa pili
Njoo inbox basiHaya