Uswazi Sihami..

Uswazi Sihami..

MimiJoel

Member
Joined
Sep 22, 2017
Posts
42
Reaction score
46
Uswahilini kuna mambo mengi, nilichaniwa dirisha nikaibiwa simu zangu... Lakin kwa hili la leo sihami kamwee!!

Leo mida ya saa 4 usiku nikiwa narudi zangu magheton, nimekutana na ugomvi wa vijana wawil wakimshambulia kijana mwenzao mmoja, huku wakiwa wamezungukwa na vijana wengi wa kiume.. nilisimama nikatamani kujua chanzo cha ugomvi ule, na kujua kwann wengine hawaamuliii? Nilimsogelea kijana mmoja na kumuuliza huu ugomvi unatokana na nini? akanijibu huyo anayepigwa na hao vijana wawili ni mwanaume mwenye tabia za kike (SHOGA) ivoo anatutia aibu vijana wa mtaa huu.

Eneo hilo lilikuwa ni jirani na salon ya kike, pemben kukiwa na vijana wengi wa bodaboda. kumbe kijana huyo aliingia salon ya kike na kuomba ashonewe Wigi la kike ndipo vijana wale waliokuwa wamepark bodaboda zao njee wakamuona, wanadai tabia hiyo kitambo anayo na walimpania kitambo wamfundishe adabu kwa kumpa kichapo ili aweze kuiacha tabia hiyoo Chafuu..

Mdada aliyekuwa saloon, ambaye ndiye msusi na alikua akijiandaa kumshonea wigi mteja wake. Alitoka njee ili kumtetea mteja wake, Akasema mbona nyie WEZI na hakuna anayewapiga wala kuwakataza.. Jamaa mmoja akasema Uwizi ni professional yao lakin ushoga hata Biblia inakataza, na sheria za nchi pia haziruhusu ushoga..

Unaanzaje kuhama Mtaa kama huu, Uwizi ni moja ya Professional ya vijana wa mtaa wetu!! Ahahahahahahah..
 
Kwani kunasehemu nimeomba msaada?? Fanya kama unapitia upyaa kusoma
Nimekuuliza si kwa lengo baya.

Nataka nifahamu tu lengo lako hasa ni nini?

Tukusaidie nini yani ?

Tukushauri uzidi kupapenda huko uswazi au unataka sisi tufanyaje kwenye huu uzi?
 
kwa hiyo mleta mada unapinga ushoga na kufagili wizi!
 
Kwa matukio haya mawili ni bora Uwizi Uendelee Lakini sio Ushoga..
Ushoga wake unakuathiri vipi kiuchumi kulinganisha na wizi? Wewe hujaibiwa, subiri siku wakuibie na wakucharange mapanga ndio utaombea hao wezi wageuke mashoga.
 
Hilo Dunya sio la kulionea huruma, lipigwe tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom