Uswazi na shortcut

SAUTI YAKO

JF-Expert Member
Jan 25, 2014
2,726
2,000
Hapa ni full enjoyment hatuitaji swimming pool mto unatutosha ukichanganya na hayo maji ya Dawasco yanaoruka kama bomba la mvua kunduchi sijui nini kule tufate nini.

Sina mengi dawasco kaleni eid ila mkirudi jueni mna kazi ya kufanya kuwaepusha watoto hawa na maji machafu yanaotiririshwa katika mto huu.

Eid njema kwa members wote.

 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom