Nyie mmezoea sijui mabaga na chipsi pale stiazi, mara sijui wapi nini nanini, ona sisi wa uswazi menu yetu kivyetu vyetu, sikia sasa tozi la uswanga likiagiza menu..
..... Nipatie miguu ya kuku ya shilingi mia mia ya elfu sita...
.....Ongeza na vichwa vya kuku vya shilingi mia mia vya elfu saba...
.....nipatie na maparachichi ya shilingi mia mia ya elfu ishirini..
...Niwekee na juisi ya miwa fasta......
Karibu uswazi menu spesheli...