Uswahilini kuna vituko kwa kweli,Wanaume wenza ngujaman hii ni kweli . . . . . . . ??

Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,261
2,000
Nimetafakari sana wakati nataka kulileta jambo hili kwanu.Lakini nimeamua kulileta hapa kama lina ukweli basi wale watakaoona linafaa waamue..Pia linaweza kuonekana udhalilishaji au kituko kwa wale ambao hawajui au hawajasikia kituko hiki.

Ni kuwa inasemekana mwanaume ambae amezaliwa bila nguvu za kiume kama anahitaji kurudiwa au kupata tena nguvu hizo anatakiwa aingiliwe kimwili na mbuzi dume,yaani beberu.Sidhani kama hii inaweza kuwa kweli.Je kuna aliewahi kusikia hiki kituko?
 
CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,367

Story hizo ni kwa wanaoamini ushirikina. Science will never dictate these rubbish stories- i do not see any scientific connection except superstitious one
 
Mpingapumba

Member
Nov 28, 2012
33
70
Mzee!,JF is the home of great thinkers hivyo weka vitu ambavyo vitakusaidia wewe binafsi au sisi sote kwa ujumla,usiweke vitu ilimradi kuonekana na wewe upo JF.Kaka maisha maisha hayaendi kwa kufatilia vitu visivyo kusaidi wewe au wenzako(sisi).Huo unaitwa udaku KAKA
 
Bujibuji Simba Nyanaume

JF-Expert Member
Feb 4, 2009
61,614
2,000
Acha kushabikia vitendo vya kikurumbembe.
Huyo beberu atamani nini hadi akuingilie?
Nimetafakari sana wakati nataka kulileta jambo hili kwanu.Lakini nimeamua kulileta hapa kama lina ukweli basi wale watakaoona linafaa waamue..Pia linaweza kuonekana udhalilishaji au kituko kwa wale ambao hawajui au hawajasikia kituko hiki.

Ni kuwa inasemekana mwanaume ambae amezaliwa bila nguvu za kiume kama anahitaji kurudiwa au kupata tena nguvu hizo anatakiwa aingiliwe kimwili na mbuzi dume,yaani beberu.Sidhani kama hii inaweza kuwa kweli.Je kuna aliewahi kusikia hiki kituko?
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,261
2,000
Mzee!,JF is the home of great thinkers hivyo weka vitu ambavyo vitakusaidia wewe binafsi au sisi sote kwa ujumla,usiweke vitu ilimradi kuonekana na wewe upo JF.Kaka maisha maisha hayaendi kwa kufatilia vitu visivyo kusaidi wewe au wenzako(sisi).Huo unaitwa udaku KAKA

Hebu fikiri kama hii makitu ni kweli,unadhani haitasaidia?
Kama ni uongo unadhani bila kusema wazi ni wangapi wanapotoshwa na kujidhalilisha wakidhani wanapata tiba?
 
Kimbweka

JF-Expert Member
Jul 16, 2009
8,601
2,000
Mmmmmh hayo ya huko kwenu bhana...................!
Mie nijuavyo maombi tu Kwa Jina la YESU na ukiamini jogo anawika saa hiyo hiyo.......!
Watch matukio katika Emmanuel tv.................!
 
Blaine

JF-Expert Member
Jan 11, 2012
2,277
0
hii heading imeandikwa na mwanaume kweli? hiyo ni style ya kidada ya kuandika.
 
Mzalendo wa ukweli

JF-Expert Member
Jan 5, 2012
559
0
Nimetafakari sana wakati nataka kulileta jambo hili kwanu.Lakini nimeamua kulileta hapa kama lina ukweli basi wale watakaoona linafaa waamue..Pia linaweza kuonekana udhalilishaji au kituko kwa wale ambao hawajui au hawajasikia kituko hiki.

Ni kuwa inasemekana mwanaume ambae amezaliwa bila nguvu za kiume kama anahitaji kurudiwa au kupata tena nguvu hizo anatakiwa aingiliwe kimwili na mbuzi dume,yaani beberu.Sidhani kama hii inaweza kuwa kweli.Je kuna aliewahi kusikia hiki kituko?
Kuna uhusiano gani kati ya kuingiliwa na beberu na nguvu za kiume????Scientifically hakuna kitu kama hicho,ni tetesi tu za uswazi hizo.Duh!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
CHUAKACHARA

JF-Expert Member
Jun 3, 2011
12,367
2,000
Hivi majibu yapo kwenye sayansi tu?

Kukosa nguvu za kiume maelezo yake yako kwenye science tu na si vinginevyo labda uwe unaamini ushirikina. Mfano rahisi, upofu wa macho maelezo yake yako kwenye science ya light in part na si kulogwa unless uwe unaamini katika ushirikina
 
Eiyer

JF-Expert Member
Apr 17, 2011
28,261
2,000
Mmmmmh hayo ya huko kwenu bhana...................!
Mie nijuavyo maombi tu Kwa Jina la YESU na ukiamini jogo anawika saa hiyo hiyo.......!
Watch matukio katika Emmanuel tv.................!

Nikikuambia kuwa wale wanaigiza,would you believe me?
 
HorsePower

JF-Expert Member
Aug 22, 2008
3,613
2,000
Eiyer ni wewe kweli au kuna mtu kaiba password yako na kuitumia hivi? Kuna uhusiano gani wa kisayansi kati ya beberu kumuingilia binadamu na kumponya na hali yake ya kutokuwa rijali?

Ndugu yangu haya ni masharti ya kipuuzi wanayoyatoa baadhi ya waganga wa kienyeji wanapowatibu watu. Saa nyingine ni vzr kutumia 'common sense' kukubali hoja na kufanya maamuzi sahihi, yaani akili ya kuambiwa unachanganya na ya kwako.

Fikiri mbuzi amfanyie shughuli jamaa huko nyuma kutakuwa salama? Si ndiyo atamchana kabisa na kumharibu zaidi? Na je miingiliano ya kimapenzi kati ya wanyama na binadamu madhara yake unayafahamu vzr? Tafakari!
 
Last edited by a moderator:

Elungata

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
37,523
2,000
Mmmmmh hayo ya huko kwenu bhana...................!
Mie nijuavyo maombi tu Kwa Jina la YESU na ukiamini jogo anawika saa hiyo hiyo.......!
Watch matukio katika Emmanuel tv.................!

duh...?!!!.
 
Mpita Njia

JF-Expert Member
Mar 3, 2008
7,004
2,000
Nimetafakari sana wakati nataka kulileta jambo hili kwanu.Lakini nimeamua kulileta hapa kama lina ukweli basi wale watakaoona linafaa waamue..Pia linaweza kuonekana udhalilishaji au kituko kwa wale ambao hawajui au hawajasikia kituko hiki.

Ni kuwa inasemekana mwanaume ambae amezaliwa bila nguvu za kiume kama anahitaji kurudiwa au kupata tena nguvu hizo anatakiwa aingiliwe kimwili na mbuzi dume,yaani beberu.Sidhani kama hii inaweza kuwa kweli.Je kuna aliewahi kusikia hiki kituko?
sasa atawezaje kumwingilia mbuzi wakati hana nguvu za kiume?
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom