USWAHILINI; Hivi hiki ni kipaji au ni Art??

USWAHILINI; Hivi hiki ni kipaji au ni Art??

Hicho ni kipaji cha hali ya juu, watoto wenye vipaji kama hivi wanatakiwa waendelezwe tangu wakiwa na umri mdogo.
 
it is creativity and if it originates from the child him/herself we call it gifted child. but kama ni out side the kid may be kimenunuliwa that is an art.
 
Kawaida tu, sisi enzi zetu tulikuwa zaidi ya hapo sio mitoto ya siku hizi kazi kuchezea mitoi ya kichina.
 
Hiki n kipaji tena kikubwa xana
 
Nimefanya sana hiyo makitu enzi yangu,tatizo wazazi wengi are not inquinstive on their children's potential talents matokeo yake wana force watoto into carrier wanazozipenda wao (wazazi)
 
Back
Top Bottom