Usumbufu wa Mashirika ya Ndege Dar es Salaam

Usumbufu wa Mashirika ya Ndege Dar es Salaam

Wanafanya vijana wanatumia njia ndefu wengine wanalazimika kupandia ndege South Africa au Nairobi au Nchi za jirani.
Kweli bongo hardway
 
Unazuia watoto wa kike wasiende kazi uarabuni kwa sababu ya upumbavu wa wachache huku unashindwa kuwalinda na Hawa wanaokula mateso nchini toka kwa wanawake wenzao waliokosa malezi.
 
Nani alikwambia unaweza kwenda nchi za watu na kujiamulia cha kufanya ili mradi una vizsa?
Hao airline wana sheria inawataka uoneshe tiketi ya kwenda na kurudi kama unaenda kutembea, tiketi ya kwenda tu kama wewe ni mkazi au unaenda kusoma.

jitihadi kuiepusha familia dhidi ya aibu
Ni sheria kwa wasiotoa rushwa
 
Nani alikwambia unaweza kwenda nchi za watu na kujiamulia cha kufanya ili mradi una vizsa?
Hao airline wana sheria inawataka uoneshe tiketi ya kwenda na kurudi kama unaenda kutembea, tiketi ya kwenda tu kama wewe ni mkazi au unaenda kusoma.

jitihadi kuiepusha familia dhidi ya aibu
HAKUNA HIO KITU, BINAFSI NAKATA TICKET SINGLE KAMA NAHISI NITACHELEWA KURUDI, IN FACT CANADA WANATOA VISA KWA MUJIBU WA PASSPORT YAKO, KAMA PASSPORT INA 10 YEARS KU EXPIRE WANAKUPA VISA YA 10 YEARS, SASA UNATAKA KUNIAMBIA NIKATE VISA RETURN FOR 10 YEARS ??????
 
Unachanganya madesa wewe. Wale jamaa wa Airlines wanatakiwa kujihakikishia kuw wewe Una tiket ya kurudi kama Huna vibali vya kuishi/kusoma kwenye nchi unayoenda. Kupewa viza miaka 10 sio ndo ujikatie tiketi one-way. Niliwahi kuishi Australia Kwa miaka 5 nilipotaka familia ije kunitembelea ikabid niwatafutie vibali vya kuishi huku kwa miaka 2 ndo nikakata one-way (mke na watoto 2).
 
Jamani Airport wametangaza ajira lakini ukiomba kwenye mfumo hazifunguki shida ni nini na unakuwa umekidhi vigezo walivyo taka uwe navyo.
 
Back
Top Bottom