Usumbufu wa Mashirika ya Ndege Dar es Salaam

Airport wameajiriwa watu wasio na sifa au hadhi ya huduma kwa wasafiri,
Msafirishaji jukumu lake ni kuhakikisha una 1.passport ya Kusafiria
2. Ticket ya ndege
3. Visa

Lakini airport yetu hawa wanakua tofauti, anakuuliza invitation letter iko wapi? Address ya unaposhukia hiyo nchi unayoenda, booking ya hotel na wanataka ulipie,
Hii yote ni kutaka RUSHWA kwa nguvu ndio maana kukwepa huu usumbufu vijana wadogo under 30 huchagua kwenda kupanda ndege Nairobi.

“PEOPLE LUCK EXPOSURE”

Ni wivu wa hali ya juu kumnyima msafiri boarding pass huku akiwa amekidhi vigezo vyote vya safari, kama unshisi anapoenda atadhurika kuna balozi kwenye hizo nchi itamsaidia.
People need to change aise
Asilimia mia moja nakubaliana na wewe, hii 2023 nimeondokea Dar es salaam, shirika hili la KLM walipiga picha passport yangu na resident card yangu pale, halafu ule utaratibu wa foleni sijaupenda na usumbufu mkubwa, eneo lote limewekwa barrier for no reason
 
Bado sijaelewa, yaani ubalozi wa canada umenipa visa halafu pale airport kuna mfanyakazi ananizuia kwenda canada au?
Ndio, na wanapiga simu hadi balozi wa canada na kusema uwongo wanaweza kuharibu visa yako, mwaka jana kuna vijana walikuwa na visa za uk waliwafanyia hivyo shirika moja pale.
 
Anaefanya hivyo ni mfanyakazi wa shirika la ndege au mfanyakazi wa mamlaka ya viwanja vya ndege?
 
Ndugu Wa Tanzania

Tumepokea malalamiko ya watu wa rika mbali mbali toka mwaka jana juu ya mashirika ya ndege hapo Dar es salaam wanavyo wasumbua watanzania wanao taka kusafiri kwenda nchi za nje kwa sababu mbali mbali.

Vijana wanatafuta fursa mbali mbali za halal kabisa za kwenda nje ,kimatembezi wengine kikazi, wanapatiwa visa halali kabisa kutoka balozi za nchi.

Wanapo fika Airport kupatiwa boarding pass hapo ndio shughuli mpya, huwasumbua na kuwakatalia kuwapa ticket kwa kisingizio eti hawatarudi Tanzania, hivi wakirudi au wasirudi wewe kama shirika la ndege ni kazi yako ? Ni maamuzi ya mtu mwenyewe.

Mtu anapo fika nchi kama za ulaya ,America na Canada kuna fursa mbali mbali, kama ni mgeni halali kabisa, fursa za kuishi huko zipo kisheria, Sasa shirika unamnyima Mtanzania boarding pass kwani wewe ni nani ?

Na mbaya zaidi mashirika hupiga simu kwenye balozi wakati mwengine na kuziharibu visa zao wasafiri.

Tunaomba serikali , Uhamiaji na sector nyengine kutupia jicho haya mashirika na wasafiri kwa usumbufu wanao pata hapo Airport.

Rais Samia pamoja na mabalozi wetu wamekuwa wakitu hangaikia ndani na nje ya nchi ili tuweze kupata Ajira, na kukuza uchumi wetu

Ahsante
Diaspora
Habari kiongozi;
hii ndio naisikia leo pamoja na kuwa na marafiki zangu kadhaa wanao safiri nje mara kwa mara ila sijawahi kusikia wamepata tatizo hata siku moja;
Labda nikupe Angalizo;
1. Una uhakika hao vijana wanaosumbuliwa wanakuwa na Visa ya Nchi wanayotaka kwenda?
2. Kwa utaratibi wa kawaida mtu anatakiwa awe na return ticket ambayo baadae anaweza kubadili tarehe ya kurudi kulingana na mahitaji (je wanakuwa nayo)
3. Passport ya Tanzania

Kama kuna mtu ameenda akiwa na hivyo vitu vitatu akapata usumbufu alete ushahidi hapa.
Kimsingi, huwezi kuruhusiwa kusafiri kwa ndege kwenda Nchi ya kigeni bila Visa ya Nchi unakokwenda. Ndege ikikupeleka na ufike pale huna Visa hutaruhusiwa kushuka au utabadilishiwa tarehe ya ticketi urudishe Bongo kwa ndege inayofuata.
Nakumbuka kuna Nchi chache sana duniani ambapo Mtanzania anaruhusiwa kuingia bila Visa.
 
Ndugu Wa Tanzania

Tumepokea malalamiko ya watu wa rika mbali mbali toka mwaka jana juu ya mashirika ya ndege hapo Dar es salaam wanavyo wasumbua watanzania wanao taka kusafiri kwenda nchi za nje kwa sababu mbali mbali.

Vijana wanatafuta fursa mbali mbali za halal kabisa za kwenda nje ,kimatembezi wengine kikazi, wanapatiwa visa halali kabisa kutoka balozi za nchi.

Wanapo fika Airport kupatiwa boarding pass hapo ndio shughuli mpya, huwasumbua na kuwakatalia kuwapa ticket kwa kisingizio eti hawatarudi Tanzania, hivi wakirudi au wasirudi wewe kama shirika la ndege ni kazi yako ? Ni maamuzi ya mtu mwenyewe.

Mtu anapo fika nchi kama za ulaya ,America na Canada kuna fursa mbali mbali, kama ni mgeni halali kabisa, fursa za kuishi huko zipo kisheria, Sasa shirika unamnyima Mtanzania boarding pass kwani wewe ni nani ?

Na mbaya zaidi mashirika hupiga simu kwenye balozi wakati mwengine na kuziharibu visa zao wasafiri.

Tunaomba serikali , Uhamiaji na sector nyengine kutupia jicho haya mashirika na wasafiri kwa usumbufu wanao pata hapo Airport.

Rais Samia pamoja na mabalozi wetu wamekuwa wakitu hangaikia ndani na nje ya nchi ili tuweze kupata Ajira, na kukuza uchumi wetu

Ahsante
Diaspora
Hayo yametokea tena Tanzania? Inasikitisha.
 
Jana kuna vijana wengi wamerudishwa nyumbani ihali wakiwa na visa halali za kusafiri na shirika la KLM ,sababu zao zisizo na msingi, na jealous tu hakuna kitu chengine. KLM wachukue hatua haraka au tutatuma barua kwa shirika lenyewe nchini uholanzi na pia Tutatuma barua Uhamiaji

Diaspora
Shukran
Nilijua imeandika jambo la maana kumbe uharo tu.

Mashirika ya ndege za kimataifa lazima yafuate sheria na taratibu za nchi, ikiwa yatakiuka yataua biashara zao.

Unapomkubalia abiria lazima awe na returning ticket na visa ya nchi hudika vinginevyo huwezi ruhusiwa kusafiri.

Jaribuni kufuata taratibu tuache upoyoyo
 
Nadhani ni wewe unaongea pumba, kama nilivyo eleza, Vijana wana visa zao wamekataliwa kusafiri, Kwa sababu zisizo na msingi, Mashirika wana dai rushwa ihali vijana wana visa zao halali.

Hapa nilipo nishawafanyia njia za kusafiri nchini Nairobi.

In fact Usafiri wa kwenda dubai ,Qatar au china ,hizi safari hazina shida, wakiona unaenda nchi kama ulaya ,Canada na USA, roho zao wale mashirika zinawatoka, kwani kuona kijana wa miaka 18- 30 ana visa , ni issue kubwa.
 
Toba yarabi makubwa madogo yana nafuu
 
Hapa naona kuna mchanganyiko wa mambo - visa vs ticket vs boarding pass!
"Wanapo fika Airport kupatiwa boarding pass hapo ndio shughuli mpya, huwasumbua na kuwakatalia kuwapa ticket.."
Hakuna anachojua
 
Halafu ni upumbavu balozi ya nchi husika imempa mtu kibali yaani visa ya kuingia nchini kwake,wewe takataka Kama nani unamzuia mtu.
Wawe wanawaburuza mahakamani ndo akili ikae sawa.
Mtu kauza shamba,kajinyima kachangachanga aende akabebe box au kufanya kazi nje wewe ni nani unamzuia,hio gharama ya nauli na viza nani anarejesha maana nauli tu ni mtaji tosha.
 
Wanapo fika Airport kupatiwa boarding pass hapo ndio shughuli mpya, huwasumbua na kuwakatalia kuwapa ticket kwa kisingizio eti hawatarudi Tanzania, hivi wakirudi au wasirudi wewe kama shirika la ndege ni kazi yako ? Ni maamuzi ya mtu mwenyewe.
Nani alikwambia unaweza kwenda nchi za watu na kujiamulia cha kufanya ili mradi una vizsa?
Hao airline wana sheria inawataka uoneshe tiketi ya kwenda na kurudi kama unaenda kutembea, tiketi ya kwenda tu kama wewe ni mkazi au unaenda kusoma.

jitihadi kuiepusha familia dhidi ya aibu
 
Back
Top Bottom