Usumbufu na ubabe Chuo Kikuu Mzumbe

Usumbufu na ubabe Chuo Kikuu Mzumbe

mz
tusaidiane kufikisha ujumbe kwa wahusika wakuu kama inawezekana hali ni mbaya
Mzee hicho chuo tatizo linaanzia kwa serikali ya wanafunzi, haina makali ni kama pambo tu. Huyo aliyekuja na ayo matangazo namfahamu ni kajamaa ka MUSO hapo alipo anatetea ugali wake. Hawana kazi nzi hawa
 
Huu ujinga utakwisha siku MUSO ikiwa taasisi yenye nguvu, kwa sasa endeleeni kusimamia michezo na burudani.
Acha uboya ww. Ss tumesoma hapo kuanzia Degree BAF then Msc AF. Kila hatua hutolewa matangazo tena kila ubao wa matangazo, kwenye emails za chuo na hata darasani mnakumbushwa. Wengi huzembea sana. Lkn pia Mzumbe wana utaratibu wa kusubiri boom hasa wakati tunaenda kwenye UE ndio huwa deadline ya kumalizia ada. Hiyo aloshindwa huitwa PARTIAL REGISTRATION ambayo kwa kawaida huisha DECEMBER. Wewe unataka kusema MUSO wafanye nn hapo. KAMA AKILI ZAKO NDIO ZIKO HIVYO BASI HUKUSTAHILI KUDAHILIWA HAPO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo mzumbe hawana historia ya kugoma...ndo kinachowakost
Matatizo ya Mzumbe yanaanzia kwa uongozi wa wanafunzi, kipindi nasoma hapo kuna changamoto nyingi zilikua zinatokea ila ukiwafata wao wana shangaa shangaa tu hawana meno
 
Acha uboya ww. Ss tumesoma hapo kuanzia Degree BAF then Msc AF. Kila hatua hutolewa matangazo tena kila ubao wa matangazo, kwenye emails za chuo na hata darasani mnakumbushwa. Wengi huzembea sana. Lkn pia Mzumbe wana utaratibu wa kusubiri boom hasa wakati tunaenda kwenye UE ndio huwa deadline ya kumalizia ada. Hiyo aloshindwa huitwa PARTIAL REGISTRATION ambayo kwa kawaida huisha DECEMBER. Wewe unataka kusema MUSO wafanye nn hapo. KAMA AKILI ZAKO NDIO ZIKO HIVYO BASI HUKUSTAHILI KUDAHILIWA HAPO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu hawajasajiliwa sawa wamekosea, ila adhabu walio pewa ni kubwa sana. Si wangepigwa faini? kuna mtu yoyote kutoka kwenye kaofisi kenu ka MUSO aliye watetea? Nzi nyinyi
 
Acha uboya dogo. soma Siasa za kifala zitakufelisha maisha yako. Unataka fine ili iweje na watumie kifungu gani ktk BY LAW yao.? Ukishindwa kujisajili huna chako. KAMA ULIPEWA PESA UKAHONGA AU UKAENDEA SAFARI ZENU ZILE ZA CASFETA KAZI UNAYO.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
mz

Mzee hicho chuo tatizo linaanzia kwa serikali ya wanafunzi, haina makali ni kama pambo tu. Huyo aliyekuja na ayo matangazo namfahamu ni kajamaa ka MUSO hapo alipo anatetea ugali wake. Hawana kazi nzi hawa
Tuambie kama hayo matangazo ni ya uwongo, au ni kweli yalibandikwa chuoni.

Kama ni kweli, kosa la serikali ya wanafunzi ni lipi?
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tuambie kama hayo matangazo ni ya uwongo, au ni kweli yalibandikwa chuoni

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sipo hapo ila matangazo hua lazima yabandikwe na nakubali kwamba hao ambao hawakusajiliwa wamefanya makosa ila tatizo ninalo liona ni ukubwa wa adhabu iliyo tolewa. Utu na busara zitumike hiki kitu kinagharimu maisha ya watu
 
Ndiyo adhabu ni kubwa, lakini si ilikuwa imeandikwa kwenye matangazo ya awali.

Pia, hiyo partial registration waliyo itaja inaanzia shilingi ngapi? Kama ni buku kama walivyosema wadau hapa, haudhani kama serikali ya wanafunzi inaishiwa points hata kama ilitaka kuwalazimisha chuo kutengua adhabu.
Wewe ulitaka serikali ya wa wanafunzi ifanye kitu gani?

NB: Sitetei serikali ya wanafunzi katika kazi zingine chuoni, ila naomba unionyeshe uzembe wao katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Acha uboya dogo. soma Siasa za kifala zitakufelisha maisha yako. Unataka fine ili iweje na watumie kifungu gani ktk BY LAW yao.? Ukishindwa kujisajili huna chako. KAMA ULIPEWA PESA UKAHONGA AU UKAENDEA SAFARI ZENU ZILE ZA CASFETA KAZI UNAYO.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ongea vitu vinavyo eleweka acha kuongea kijinga jinga nzi wa kijani
 
Ndiyo adhabu ni kubwa, lakini si ilikuwa imeandikwa kwenye matangazo ya awali.

Pia, hiyo partial registration waliyo itaja inaanzia shilingi ngapi? Kama ni buku kama walivyosema wadau hapa, haudhani kama serikali ya wanafunzi inaishiwa points hata kama ilitaka kuwalazimisha chuo kutengua adhabu.
Wewe ulitaka serikali ya wa wanafunzi ifanye kitu gani?

NB: Sitetei serikali ya wanafunzi katika kazi zingine chuoni, ila naomba unionyeshe uzembe wao katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Bro nguvu iliyo tumika hapa ni kubwa sana, busara itumike usajlii ufunguliwe watu wafanye mitihani hakuna cha ziada.
 
MUSO MEDIA, kitu mnaweza ni kugawa identity card tu. Saidieni watu wenu wachumia tumbo nyinyi
Mafi munuyu. Masala mduhu. Angu?
Masala kulufindo angu?
Mdau kaishatoa hits za tangazo hapo juu kasema hata kama ulikuwa na 1000/= ya ada unaweza sajiliwa chuo. Hivi hiyo ushaona wapi? Yaani wanapunguza karibu 1499000/= we bado unaendelea kulialia mtandaoni. Hivi ulitegemea wakubebe mbeleko ya mavi ndo ujue wanakuthamini?

SASA CHA KUFANYA HAPO WE ACHA CHUO INGIA MTAANI JIAJIRI UPATE HELA UFUNGUE CHUO CHAKO
 
Huu ujinga utakwisha siku MUSO ikiwa taasisi yenye nguvu, kwa sasa endeleeni kusimamia michezo na burudani.
Serikali za vyuo vyingi siku hizi zimejikita kwenye michezo na burudani ..hivi ndo vipaumbele vyao vya kwanza...

Masuala ya academic wamejitoa..ila wakati mwingine serikali inaweza ikakosa nguvu kwa sababu ya dean of students..

Kizazi cha sasa hawajali chochote kuhusu haki zao.wanachojua ni kulalamika bila kuchukua hatua yoyote.. Sio kile kizazi chetu cha famila jeuri,kibri,tukutu na korofi loorokunda

hakuna kitu cha maana unachoongea zaidi ya kuleta uswahili na utoto
 
Serikali za vyuo vyingi siku hizi zimejikita kwenye michezo na burudani ..hivi ndo vipaumbele vyao vya kwanza...

Masuala ya academic wamejitoa..ila wakati mwingine serikali inaweza ikakosa nguvu kwa sababu ya dean of students..

Kizazi cha sasa hawajali chochote kuhusu haki zao.wanachojua ni kulalamika bila kuchukua hatua yoyote.. Sio kile kizazi chetu cha famila jeuri,kibri,tukutu na korofi loorokunda

Sent using Jamii Forums mobile app
[/QUOTE
Vijana wenye misimamo angalau kidogo wamebaki UDSM ila huku kwingine kunguru wote. Hawana kauli wala misimamo yao, wanaogopa kufukuzwa vyuo alafu wanapigania madaraka wasiyo weza kuyapambania.
 
Huu ujinga utakwisha siku MUSO ikiwa taasisi yenye nguvu, kwa sasa endeleeni kusimamia michezo na burudani.
Inaonesha una matatizo kijana. Acha mihemko fuata taratibu ili ufanikiwe maishani
 
Watu hawajasajiliwa sawa wamekosea, ila adhabu walio pewa ni kubwa sana. Si wangepigwa faini? kuna mtu yoyote kutoka kwenye kaofisi kenu ka MUSO aliye watetea? Nzi nyinyi
Soma comment yako ujione ulivyo na matatizo. Inaonesha uligombea ukakosa kura, sasa ni nongwa
 
Back
Top Bottom