Usultani kurejea Tanzania - Jakaya --> Salma -->Ridhiwani--->yule bosi wa chipukizi

Unapoandika lazima uwe na Facts. Kwanza inabidi ukubali kwamba CCM ni chama tawala. CCM kinapata ruzuku zaid,i kama Chama Tawala. Halafu Rais, anayo HAKI ya kutumia ndege kwa ajili ya Kampeni zake; kwa sababu bado ni Rais wa nchi.
Mama Salma Kikwete anayo HAKI ya kutumia ndege kwa ajili ya kumpigia kampeni mumewe, kumbuka mama Salma Kikwete ni First Lady.
Rais anayo HAKI ya kutumia Hela za Serikali kwa ajili ya kupanga rangi Ikulu. Kumbuka Ikulu ni mali ya Watanzania. Sasa kuna ubaya gani kwa Rais kupaka Rangi nyumba ya WTZ?
Kuwa na point unapozungumza na SIYO blah blah blah blah.
 

Ridhiwani Kikwete akilakiwa kwa furaha ?
na Hamad Masauni Yusufu alipowasili
kumpa nguvu
katika kampeni mjini Unguja




Ridhiwani Kikwete ampiga Tafu (rushwa?) Hamad Masauni
Tsh.1,000,000 Unguja
My take: za kwake au za CCM ?
Mwakalebela alipewa ngapi ?
Dr. Chegeni alipewa ngapi ?

Na Bashe je ?
 

Attachments

  • Zanzibar+390.JPG
    19.2 KB · Views: 49
.
Rais anayo HAKI ya kutumia Hela za Serikali kwa ajili ya kupanga rangi Ikulu. Kumbuka Ikulu ni mali ya Watanzania. Sasa kuna ubaya gani kwa Rais kupaka Rangi nyumba ya WTZ?
.
Kupaka rangi Ikulu si vibaya, lakini kiasi kikubwa cha hela kama bilioni 29Tsh. hiyo inaweza kuingia akilini? Kwanza hiyo tenda ilitangazwa lini ya kupaka rangi Ikulu? Si ajabu ni walewale walipewa tenda ki ushikaji
 

You are living proof that man can live without a brain.
 

Ohh God help us
 

John mbatizaji nimjuaye au Yuda mwana wa Eskarioti?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…