sky walker
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 1,160
- 834
Ustadh amlawiti mtoto wa miaka 13 msikitini ndani ya Ramadhani.
Ustadh huyo ambae aliyefahamika kwa jina la Abdulkadir Rajab Miraj mwenye umri wa miaka 30 mkaazi wa Kisauni Unguja. Anadaiwa kumlawiti mtoto wa miaka 13 ndani ya msikiti wa Kwajecha huko maeneo ya Nyamanzi Unguja.
Sheha wa shehia ya Nyamanzi Issa Abdallah Ali amethibitisha kutokea kwa tukio hilo na amesema mtuhumiwa huyo kwa sasa yupo kituo cha Polisi Fumba.
chanzo:
Breaking News Kiswahili