Ustaarabu wa kupanda matatu/daladala wakati wa rush hours

YoungCorporate

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2010
Posts
391
Reaction score
116
05122011(001).jpg05122011.jpg05122011(004).jpg
 
usafiri wetu huu kweli ni wa ajabu watu wanavyokimbizana utadhani majambazi wamevamia kituo maana ni taflani tupu
 
Usitaarabu huu ulikuwepo enzi za UDA. Ulikufa enzi za CHAI MAHARAGE. Polisi wanapaswa kukaa vituoni na viboko wakiwapanga watu kwenye foleni. Baada ya miezi michache nidhamu itarudi. Haki za Binadamu eh? Chagua moja: Ustaarabu au haki za binaadamu.
 
Hili ni suala la ustaarabu na hakuna haja ya polisi kuwafundisha jinsi ya watu kupanga foleni ya daladala ama taxi
 
Back
Top Bottom