Katika pita pita za kutafuta maisha,nimepita mitaa ya magomeni mapipa nikaona dampo limeanzishwa barabarani..Jamani hii ni aibu kubwa kutupa taka ovyo,ukizingatia hata barabara yenyewe haijafunguliwa rasmi na mwendo kasi haujaanza kufanya kazi.
...ukiuliza mtendaji wa huu mtaa ni ccm tena kashinda juzi, tukiwambia ccm kazi yao kupiga hela tu watu hawaelewi, ona sasa haya mambo. na watu wanaona sawa tu...