VAN HEIST JF-Expert Member Joined Aug 26, 2014 Posts 1,434 Reaction score 617 Nov 12, 2014 #1 Habari ya wakati huu wana jukwaa, Nimeshuhudia mtu mzima (me) akiingiza mkono ndani ya suruali kwenye nyeti zake akiwa anajikuna huko na alipomaliza akautoa na kuunusa, ni kitendo amekifanya hadharani.Nimeshangazwa sana na tukio hili.
Habari ya wakati huu wana jukwaa, Nimeshuhudia mtu mzima (me) akiingiza mkono ndani ya suruali kwenye nyeti zake akiwa anajikuna huko na alipomaliza akautoa na kuunusa, ni kitendo amekifanya hadharani.Nimeshangazwa sana na tukio hili.
M Mkempia JF-Expert Member Joined Mar 5, 2013 Posts 1,142 Reaction score 462 Nov 12, 2014 #2 Ndio maana nimeacha kusalimiana kwa kushikana mikono
Mafikizolo JF-Expert Member Joined May 8, 2014 Posts 3,487 Reaction score 1,628 Nov 12, 2014 #3 hahahahahahahahahah duh mamaafacebook, miss chagga kuja uku Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
MO11 JF-Expert Member Joined Mar 23, 2014 Posts 19,698 Reaction score 42,010 Nov 12, 2014 #4 alikuwa anapima hali ya hewa
manking JF-Expert Member Joined Feb 8, 2014 Posts 1,306 Reaction score 316 Nov 12, 2014 #5 Huyo atakuwa anumwa kisonono/kaswende mshauri akapime apewe dawa.
Raynavero JF-Expert Member Joined Apr 29, 2014 Posts 38,375 Reaction score 56,096 Nov 12, 2014 #6 kichefuchefu tu
miss chagga JF-Expert Member Joined Jun 7, 2013 Posts 57,802 Reaction score 49,110 Nov 12, 2014 #7 Mafikizolo said: hahahahahahahahahah duh mamaafacebook, miss chagga kuja uku Click to expand... ha ha ha ha atakuwa katoka kufanya matusi huyo
Mafikizolo said: hahahahahahahahahah duh mamaafacebook, miss chagga kuja uku Click to expand... ha ha ha ha atakuwa katoka kufanya matusi huyo
promiseme JF-Expert Member Joined Mar 15, 2010 Posts 2,706 Reaction score 935 Nov 12, 2014 #8 😳asaraa...
Moisemusajiografii JF-Expert Member Joined Nov 3, 2013 Posts 55,940 Reaction score 105,384 Nov 12, 2014 #9 Mjini hapa.Alikuwa ana hakikisha kama panya-road hawajachukua mzigo.Aliuhakikisha kwa kuunusa!
pierre tall JF-Expert Member Joined Nov 5, 2013 Posts 4,364 Reaction score 4,048 Nov 12, 2014 #10 Hahahahaha...itakuwa pumbu erosion hiyo...
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Nov 12, 2014 #11 Yaan ndo mana sipendi mtu anisalimie kwa kunipa mkono
suregirl JF-Expert Member Joined Jun 8, 2012 Posts 6,056 Reaction score 198 Nov 12, 2014 #12 Mafikizolo said: hahahahahahahahahah duh mamaafacebook, miss chagga kuja uku Click to expand... Ahhhha duh Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
Mafikizolo said: hahahahahahahahahah duh mamaafacebook, miss chagga kuja uku Click to expand... Ahhhha duh
Mafikizolo JF-Expert Member Joined May 8, 2014 Posts 3,487 Reaction score 1,628 Nov 12, 2014 #13 Hahahahaha miss chagga said: ha ha ha ha atakuwa katoka kufanya matusi huyo Click to expand...
G Gololi One JF-Expert Member Joined Oct 23, 2014 Posts 575 Reaction score 365 Nov 12, 2014 #14 Alikuwa anacheki kama bado zipo na zinanukiaje? Du kweli ustarabu unahitajika sana.
Shadeeya JF-Expert Member Joined Mar 12, 2014 Posts 52,714 Reaction score 128,399 Nov 12, 2014 #15 Yaani hadi kichefuchefu.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,440 Reaction score 38,437 Nov 12, 2014 #16 Tezi dume! State house ya Tz ishaleta tabu
M mamanzara JF-Expert Member Joined Oct 9, 2007 Posts 651 Reaction score 196 Nov 13, 2014 #18 Mhhh, sijui hata nimweke kundi gani mtu wa aina hiyo.