Ana Gundu... Fainali Nne.. zote hola... Nishasafiri na mtu kama huyu ana gundu balaa huko kilimanjaro njia zile zilizopasuliwa milimani huyo jamaa akipanda msipomshusha gari linaweza tumbukia korongoni... Wacha na yeye aachie Ngazi sifa Nyingi...
Mimi sijui atawafanyaje ila kama unakumbuka kauli yake aliyoitoa akiwa kocha wa timu ya taifa fainali za kombe la dunia 2010 alisema akitwaa kombe atatembea uchi mitaa yote ya AIRBUENOS ARGENTINA kauli zake zina utata
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.