Hakikisha unaelewa kila kinachofundishwa, usipoelewa omba msaada kwa mtu, then jisomee sana peke yako kuliko kufanya discussion. Yani discussion asilimia 25 kujisomea peke yako 75. Then unapojisomea peke yako kuna vitu unaweza usielewe vizuri. Hivyo vitu tafuta mtu na wakati wa discussion ulizia wenzako. Jitahidi pindi unapokuwa na discussion usiwe mpenzi msikilizaji Bali changia mada kadri uwezavyo hii tabia itakujenga zaidi katika kukumbuka vitu unavyovisoma. Ni hayo tu