Maisha magumu ni sababu mojawapo ya kutokusoma vitabu mkuu.
Haiwekani mtu/ watu wa vijijini akae kusoma vitabu wakati nyumbani hali ni tete aisee! Hivyo unakuta akili yake yote ni jinsi gani afanye familia yake ipate chakula nk.
Ukimwambia kaa soma vitabu atakuona kama unataka kumpotezea muda wa kwenda kupambana ili apate ridhiki.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.