4.77 Trillion (22 %) ni kwa ajili ya elimu bure na mikopo elimu ya juu hii inamaanisha budget ni kama 22 Trillion. maendeleo tumeambiwa ni 40 %!! Sasa hii ya Trillion 18 kwa matumizi ya kawaida ....... mbona mnatuchanganya!!Trilioni 18 kwa matumizi ya kawaida.
Haihitaji uwe msome ni akili timamu tu na sio ushabiki wowote unahitajika kuona uozo uliokuwepo nduguNaona bado unazungusha mikono huamin kama serikali mpy iko madarakani
Wale waliokuwa wanaguna mafao yao kukatwa kodi ni UKAWA? Kilaza wahed wewe.UKAWA wote wameliwa posho zinafyekwa sasa!
Mafao ya wabunge wote kukatwa kodi.Posho zimekuaje?tupeni update basi humu wengine tuko mbali tv
Matumizi ya kawaida ni shughuli za kila siku za serikali kama kulipa mishahara4.77 Trillion (22 %) ni kwa ajili ya elimu bure na mikopo elimu ya juu hii inamaanisha budget ni kama 22 Trillion. maendeleo tumeambiwa ni 40 %!! Sasa hii ya Trillion 18 kwa matumizi ya kawaida ....... mbona mnatuchanganya!!
Mwenyewe hapendi kukosolewa shauri yako wakuone wapiga zumari wa mfalme utasikia jela miaka 3 au faini m7haki ya Mungu baba kilaza akipita tena 2020 akapike sadaka ya wafu. kwa sababu hii bajeti inakwenda kupandisha bei ya bidhaa madukani hivyo kusababisha ugumu wa maisha kwa wananchi.
si ndivyo babaenu slaa alivyowaambia ni heri kubaki misri kuliko kwenda kanani? Mwite aje awasaidie kulimia meno.....
Bora Mkoloni mweusi,zimwi likujualo halikuli likakwisha.temea mate chini ukoloni ni BALAA.Kwani sasa hutawaliwi na ukoloni?
Kwanini sio chaguo mBADALA?Pamoja Na ubovu wa Magufuli, lakini Lowasa bado sio chaguo mbadala.!