Uso kwa uso na miss chagga

Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha kumbe unatabia mbaya hivyo sasa mbona ukunikumbusha kufunga kifungo cha shati
 
mmmmmh kibochaa mnasiii....mnama pesa eeeh.mbesha tila kama ndo miss chagaa huyu apitaiti imesia kabisaaaaa
 
Siwezi kuamini kama kweli ni miss chagga, mpaka nione miguu yake.
Kuwafahamu na kuwatambua watu tunatezama sura au miguu? Bahati mbaya sikumpiga picha miguuni.Ila kajaaliwa sana, ni mashallah! Hata hivyo sawabho, wasichana wa kichagga wa kizazi hiki cha miss chagga hawabebi mizigo na kupanda milima. Miguu yao swafiiii!
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha kumbe unatabia mbaya hivyo sasa mbona ukunikumbusha kufunga kifungo cha shati
Nakumbuka nilikuambia hicho kitu miss chagga, lakini wewe uling'ang'ania utani wako wa: 'Kamera feki hiyo hakuna chochote!' Unakumbuka?Halafu nilipokupa lift nikakuambia picha nitaipost Jamii photos ya JF ukaniambia 'Subutuuuu!' Wewe kwa utani na mzaha bwana, nakuvulia kofia.
 

Nimeamini ila na wewe unamambo makubwa kunianika hapa ndiyo nini? Lakin me mzuri eeeh.... nanjilinji njoo unione nakuja wiki ijayo nangurunkuru usijenipita
 
Last edited by a moderator:
Nimeamini ila na wewe unamambo makubwa kunianika hapa ndiyo nini? Lakin me mzuri eeeh.... nanjilinji njoo unione nakuja wiki ijayo nangurunkuru usijenipita
Si nilikuambia lakini miss chagga, kwamba ntaiweka picha yako kwenye jukwaa la Jamii Photos? Kumbe uliona nakutania eh? Kwa uzuri unao aisee hasa hiyo soft skin na huo mwanya.Vipi, mgonjwa wako keshafanyiwa operesheni? Mpe pole sana.
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…