Usiyoyajua kuhusu Hamisa Mobeto

Status
Not open for further replies.

warumi

R I P
May 6, 2013
16,273
18,382
Hamisa Hassani Mobeto amezaliwa mwaka 1994 mkoani Mwanza na kabila lake ni Mnyamwezi. Mwanzo wake katika tasnia ya u-miss na modelling ilianza baada ya hamisa kuibuka mshindi wa shindano la Miss XXL BACK TO SCHOOL BASH Mwaka 2010 iliyoandaliwa na kipindi cha XXL kutoka Clouds Fm.

Mwaka 2011 Hamisa alishiriki mashindano ya Miss Dar Indian Ocean na alifanikiwa kushika nafasi ya pili , pia mwaka huohuo alikua mshindi wa pili wa miss kinondoni na kufanikiwa kuingia kwenye Nusu fainali ya miss Tanzania. Mwaka 2012 hamisa alishiriki kwenye mashindano ya Miss Univeristy Afrika na kuingia hatua ya 10 bora.

Kutokea Hapo hamisa amekuwa gumzo kwenye tasnia ya uanamitindo na filamu pia. Pia amisa ni video queenna wengi mnaweza kumuona kwenye video ya Quick Rocka ya My Baby. Mwaka 2014 Hamisa alitokea kwenye cover page la Pulse Magazine la Nchini Kenya. Akiwa Ndio kwanza ana miaka 21 Hamisa ni mtu wa kuangaliwa sana sababu anategemewa kufanya mambo makubwa zaidi.
 
Attachments

  • 1410851503811.jpg
    1410851503811.jpg
    52.5 KB · Views: 9,241
Amezaliwa mwaka 1994 lakini alianza kushiriki mashindano ya U-miss mwaka 2011 akiwa na umri wa miaka 17 kinyume na sheria...!!!

Huo aliweka umri wa Rita utakuta umri wake ni zaidi ya 23 huyo.Hapo inaonesha BASATA hawajui kazi yao mpaka kumuachia mtoto kushiriki hayo mashindano.Familia ilimuachia kwa kuwa walijua hiyo miaka 17 sio umri wake sahihi.
 
Siku kuna umri wa aina mbili..umri wa pasipoti/RITA na umri wa kudanganyia kwenye mitandao...Lulu wa Kanumba nae alikua mtoto akadanganya umri ili tu aruhusiwe kuingia disco..kilichompata baada ya kumuua Kanumba anajua mwenyewe.
 
Ahahaaa mwenzangu, na birthday ya kutimiza miaka kumi na nane akafanya dah kumbe hola, kilichomkuta anajua mwenyew
 
1994 mbona kakomaa hivo?
2012 alishiriki mashindano ya Miss University....ina mana alikua anasoma chuo kikuu?
Dah maana watoto wa 1994 wengi wao wanaanza University mwaka huu...
Au ndo kusoma vyuo vya utalipia kidogo kidogo ndo kusema yupo university???

Wabongo bana kwa CV za kuunga unga ndo wao..

Yule kazaliwa kuanzia 1987 hadi 1980 ...cheki sura ile...angekua mbele tungesema junk food ila kwa ugali na sangara wa mwanza hawezi kua wa 1994
 
Mamiss na wasanii wa bongo movie sijui wanatumiaga calendar za sayari gan maana huwa hawakui kila siku hawavuki miaka 25..
 
sura komavu hivo....asitutanie *****

Ivi kasoma kwel huyu?? Maana anavyojishaua na kujiona malaika, pesa yenyew hana na elimu yenyewe hana, niliwaonaga mlimani pale shear alikuwa na shoga yake anaitwa jullie ana mimacho ivi dah, yule anajionaga malaika anajisikia vibaya halafu ana dharau kiama shule zenyew zimewashinda.
 
Hamisa kaishia form four na alichambwa sana kwa kushiriki mashindano ya miss university kumbe hata cheti cha computer course zile za elf 20 hana.Alinimaliza alipopiga picha na joho la magraduate kisha akaweka insta!watu walichamba mpaka akafuta.bahati mbaya enzi hizooo simu yenye screen capture zilikua hazijaingiaga bongo ningewwaletea ushongondola wake muone mmmxxiiiewwww
 
Huo aliweka umri wa Rita utakuta umri wake ni zaidi ya 23 huyo.Hapo inaonesha BASATA hawajui kazi yao mpaka kumuachia mtoto kushiriki hayo mashindano.Familia ilimuachia kwa kuwa walijua hiyo miaka 17 sio umri wake sahihi.
Walishamkuza akiwa na miaka 14 ,so 17 alikuwa ameshakomaa...
 
Hamisa kaishia form four na alichambwa sana kwa kushiriki mashindano ya miss university kumbe hata cheti cha computer course zile za elf 20 hana.Alinimaliza alipopiga picha na joho la magraduate kisha akaweka insta!watu walichamba mpaka akafuta.bahati mbaya enzi hizooo simu yenye screen capture zilikua hazijaingiaga bongo ningewwaletea ushongondola wake muone mmmxxiiiewwww

Makubwa tena haya, kuna siku pia zaman kidogo alichambwaga na msanii gani sijui wa kiume,kuwa hamisa anaringa wakat hana maisha wala elimu, dah nikashangaa maana nilijua hamisa ana degree au diploma, sasa ivi anahangaika uko insta kupiga picha za uchi apate wanaume wamuweke mujini.
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Back
Top Bottom