Usiyofahamu kuhusu Fly Emirates

Aisee tulikuwa na midege ya hatari kama ya vita....!
 
recently nimesafiri nao toka Narita (japan) to Abudhabi then to Dar es salaam wanastahili kabisa kuwa shirika bora

wako vizuri sana pamoja na Qatar safi tutafika inshaallah ila na imani kama sio lile shirika la zamani kufa tungekua kama emirates asee (nasubiri mapovu)
 
Yakwetu ni nzuri kwa kuwa ni nyepesi kwa kwenda mbele! inamwendo kasi
 
Hiyo lugha unayoitumia mimi siifahamu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…