Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,295
Nchi yetu inatatizo la kiuongozi sana ndo mana vtu haviendi kwa nchi yetu iliyo na kila kitu kuwa na ndege hii ndogo ni aibu, ila si haba kuliko wale waliuza zile ndege zenye hadhi za wakati wa Nyerrere. Kila kitu hakiendi na ni aibu Nyerere sijui aliwazaga vipi kujenga viwanda katibia kila corner hafu wengine wakaviua.uwezo wa kuwa nacho kikubwa zaidi tunacho sema tu usanii mwingi sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kandege ketu jamani.....au katakuwa kanaenda Chato tu.
Wana HUDUMA nzuri sana nawakubalidah nahitaji offer ya kupanda hii ndege.
Mkuu....Hiyo picha ya tatu hapo ni baa ndani ya dege hilo?
Anapitiaga humu marachachemwenyewe angukuwa anasoma hiz comments haki ya nan angeenda kupiga mnada ndege zake akanunue vichwa vya train tu, watanzania burudani sana
Mkuu....Jamani bora hata kapangaboi kuliko tulivokuwa hatuna kabisa
Utaitwa mchochezi aiseeee...[emoji12] [emoji12]Hivi hako kadege ketu kana facilities gani humo ndani? Au unakaa kama upo kwenye hiace KCMC to TOWN.
Ndio Diva Beyonce hizi ni latest version!!Maana hizi Dash8 kuna Q100/200/300/400Hivi barafu hizi pangaboi ni za karne hii au ya 20 maana mi huona sana zisizo na mapanga
Mchochezi wa nini, si nauliza ili tujueUtaitwa mchochezi aiseeee...[emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mwenye picha ya pangaboi yetu please aniwekee hapa ili nione na sisi kumbe tumo
Bado kachanga ili katakuwaga tukandege ketu jamani.....au katakuwa kanaenda Chato tu.
Wa sasa hivi kama kateguliwa miguu au ana matege ya Selgado.Yote tisa, kumi twiga wetu wa zamani alikuwa na mvuto jamani.
Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] . Alikula shillingi ngapi mkuu??Wa sasa hivi kama kateguliwa miguu au ana matege ya Selgado.
Alibadirishwa kipindi cha Mataka,na uliza aliyebuni huyo twiga mpya alikula shilingi ngapi?Utazimia
[emoji15] [emoji2] [emoji2] [emoji15]kandege ketu jamani.....au katakuwa kanaenda Chato tu.
Hivi mlishawahi kuziona ndege za jirani yetu kwa chini...yaani wamakonde au nchumbiji?Pangaboi nasikia linapiga kelele hatari
KUna jirani zetu nchumbiji nao wako vyema.Shirika la ndege la Emirates linasifika kuwa na ndege za gharama na kifahari sana duniani ambapo wanasema kuwa wana ndege za abiria 235 na ndege 15 kwa ajili ya kuchukua mizigo na bado wanaendelea kuagiza ndege zingine kutokana na uhitaji uliopo.
Kulingana na takwimu za mwaka 2014 wameweza kufungua matawi mengine duniani ikiwemo ya ndege za mizigo na jumla ya destinations wanazotembelea ni 155 katika nchi 81.
Licha ndege hizo kuwa na uwezo wa kusafirisha watu wengi kwa wakati mmoja yako mazuri mengine kwa upande wa Entertainment ambapo unaposafiri na ndege za Emirates unaweza kuangalia zaidi ya channel 2200, zaidi ya movies 500 kutoka duniani kote, kuna zaidi ya channel za muziki zaidi ya 1000, kuna video games zaidi ya 100 na pia unaweza ukatumia USB yako kuangalia movies au kusoma documents zako.
Akizungumza na Ayo TV na millardayo.com, Mhudumu wa Ndege za Emirates, Theresia Sudi amesema…….
>>>’Emirates in offer value for money services ambayo unaona faida ya kutumia pesa zako unaponunua tiketi yako kuanzia unapotoka nyumbani mpaka unapofika sehemu unayokwenda, tuna uwezo wa kukuunganisha kwa haraka, hauna haja ya kusubiri sana airport kwa mfano unatoka Tanzania unafika pale Dubai kwa sababu tuna ndege nyingi tuna uwezo wa kukuunganisha kwa haraka zaidi’ FLY EMIRATES HELLO TOMORROW
View attachment 404856 View attachment 404857 View attachment 404858 View attachment 404859