Usiwe rahisi kiasi hiki dada

Mtakuja kulogwa hivi hivi kuchezea hisia za watu.huwezi jua kiasi gani bidada kasota Ibala hii then akajiona ana zari LA mtende afu we unamuona cheap Sn.ifike mahala muwe mnaheshimu hisia za wengine
 


Dah mbona mazal ya mentali kama hayo hayatutokei akna sisi!
 
Naingiza finga yangu, najua wengi hawapendi kuingiziwa mifinga kwa hiyo atanichukia tu.
Mpododo na finga ni vitu tofauti, hilo mnalijua coz mshaonja vyote, teeh!!

Kama mimi ukiingiza kafinga mimi huwa nakatikia kabisa unaweza chemsha kwa hilo
 
there are many ways to make a man wanna keep you but moving into his place ain't one of 'em.
 
Acha ushamba oa wewe kwani kumpenda kwako si ulizimika na flag yake!
sasa udhaifu gani uliouona kwake hadi unatuchania mistari bila beats!
Huo ni udhaifu wako inaonesha kakuzidi ma'shoot' ndo mana unatafuta kusepa kimya kimya!
Lakini usijali fanya hivi;~ aga safari ya muda mrefu akishafungasha virago vyake potezea kwa siku kadhaa na siku akirudi uwe unapanga kuondoka muda huohuo lazima atahisi umemchukia au una mwingine.
na sometimes akija weka alarm ya muda wa dk 5 na ikilia ,ikate na jifanye unapokea simu kwa huku ukitamka "mpenzi nakuja sasa hivi kuna mgeni ananichelewesha lakini usijali baada ya muda mfupi nitakuwepo hapo!" ukirudi dozi hiyo kwa mara nne kwa wiki na huyo demu bado anakuganda ujue siyo "mzima" ita/tuma watu wengine wakusaidie kumfukuza!
 
Bila kuhamia mnaomba tu papuchi miaka nenda miaka rudi
hata tamko hamtoi, acha ahamie tu....
 

Dadek !! Mjini hapa. Mkeo huyo !! Hahahaha sipati picha alivyofungasha hayo makalio. Tehe
 
Talk to her..unamtangaza hapa tukuone kidume ulitongoza na kut.mbo siku hiyohiyo?
Binadamu hana jema heri kuishi na mbwa atafukuza wezi.
Ni kweli lakini sijapangilia hili la yeye kujaishi kwangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…