Akazara tikachweka
Member
- Jul 28, 2019
- 6
- 2
Mpenzi ni sawa na kumkopesha baba mkweRafiki, ndugu au mpenzi kifupi waachie benki kazi ya kukopesha
Askari mliyezoeana".Kama ni kumpa mpe tu then usahau lakini usithubutu kumkopesha na utarajie kuwa atakurejeshea.
Kabisaaa, bora ulipe mzeee...Kuna rafiki alinikopesha laki 6. Sijamlipa hadi leo mwaka wa 4. Sina amani kabisa moyoni maana sikukusudia ila mambo yalikwenda kombo.
Mungu nisaidie nimlipe pesa yake.
Askari PolisiKuna askari;
Jeshi
Polisi
Magereza
Uhamiaji
Mgambo
Ni yupi kati ya hao
Ni kweli. Nilishaongea nae tukakubaliana kumlipa kidogo kidogo.Kabisaaa, bora ulipe mzeee...
Mimi kwa kweli sina amani kabisa nikivusha deni..
Ila kuna wanyabe sijui wameumbwajeee...
Yaani yeye Hayupo tayari kurudisha deni na hawazi....
Na hamnaga kesi ngumu kama za madai...
Wazaramo wanasema: Give what you can afford to lose.kama ulidhani umemuelewa sana mzee wako,kopesha yeyote ukiwa na uhakika 100 pesa itarudi๐๐๐๐.
ndio maana wengine ukija kutukopa,hatukupi uliyoomba tunakupa 50% ili ukiamua kusepa nayo ikusaidie uendako.
Miaka 4 hujapunguza deni hata kidogo? Hata kama mambo yamekwenda kombo unatakiwa uonyeshe nia ya kulipa kwa kuanza kupunguza kidogokidogo.Kuna rafiki alinikopesha laki 6. Sijamlipa hadi leo mwaka wa 4. Sina amani kabisa moyoni maana sikukusudia ila mambo yalikwenda kombo.
Mungu nisaidie nimlipe pesa yake.