Usiwaamini sana matajiri

"daimond?, wewe!! Daimondi anaela gani? Yule maskini tu. Hela ni za babutale ye anamshikia tu"

"Kwanza yule awezi kua filmasoni. Filmasoni bongo?"
Filmason? Hii ni dawa ya fungus au ni aina ya body spray?
Babu Tale ana hela kumzidi Diamond? Mtu ambaye analipwa awe na hela kuliko anayemlipa? Aendelee kupambania posho za ubunge kwa kuwa hana biashara nje ya umeneja wa wasanii.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…