M O N S T E R
JF-Expert Member
- Sep 26, 2022
- 8,132
- 19,259
Filmason? Hii ni dawa ya fungus au ni aina ya body spray?"daimond?, wewe!! Daimondi anaela gani? Yule maskini tu. Hela ni za babutale ye anamshikia tu"
"Kwanza yule awezi kua filmasoni. Filmasoni bongo?"
Babu Tale ana hela kumzidi Diamond? Mtu ambaye analipwa awe na hela kuliko anayemlipa? Aendelee kupambania posho za ubunge kwa kuwa hana biashara nje ya umeneja wa wasanii.