Usiwa waamini Binadamu

Usiwa waamini Binadamu

Tman900

JF-Expert Member
Joined
May 30, 2017
Posts
969
Reaction score
3,065
1. Usiichukie kazi yako, Hakuna kazi mbaya maana hiyo ndo inakupa kipato.
2.Usitengeneze Faida kwa Watu wasio miongoni mwako.
3.Usimsaidie mtu ukitegemea kupata kitu Fulani
4.Usimuamini mtu yeyote
pia usimuonyeshe kua aumuamini.
5.Usio mwanamke ambae unaempenda 100%. Owa mwanamke ambae haumpendi Faida ya kuoa mke usiempenda utaiona badae.
6.Mtu yeyote atakiwi Kujua Ratiba yako ya mambo yako.
7.Tunza kumbukumbu ya pesa unazo Onga, zitasaidia kubadili mfumo wako wa kutawala pesa, na Kutokua muongaji sana
8. Usikope pesa kwa Kutatua Tatizo la mwanamke/ Mwanaume.
9.Chochote unachomiliki Usimwambie mtu, we kama kimya tu.
10...........
 
Back
Top Bottom