Usivae nguo yenye maneno usiyoyajua

maskin huyu demu wa kichina, kingereza kimepishana nae angejua kilichoandikwa hapo angechoma moto hiyo nguo
85008328.jpg
Kahaba aiseee
 
Enzi za utoto wangu nilivaa tshirt yenye maneno yasiyojulikana na jamii yangu. Siku moja nilipishana na watalii nikiwa nimevaa nguo hiyo walianza kucheka balaa. Nakumbuka dada mmoja alinifata akanipa pipi na kusema maneno kama parampa elimpidi bambino. Mpaka leo sikuwahi kujua yale maneno yalimaanisha nini.
 
hayo ni maneno ya kiitaliano
parampaa=????
olimpiadi=Olympics
bambino= child
sijui walikuwa wanamaanisha nini
 
Mzee bado anazurura😂😂😂
 
Attachments

  • 1541075898226.jpg
    1541075898226.jpg
    8 KB · Views: 27
  • images(1).jpg
    images(1).jpg
    21.9 KB · Views: 23
Back
Top Bottom